Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

Mbona hujafunguka ipasavyo mkuu hujasema mlikutana wapi na mlianzaje kujenga urafiki au alizuka tuu kama malika?
 
Nenda dude usiwe unasahau likizo kuja chukua vumbi la Kongo,

Oya Kila hatua Dua kikubwa mapambano na mapambano Yana style nyingi
Keep going dude!
💪💪💪
 
Kuna yule aliependwa na binti wa 17 years huko Malta.. aje kukupa mrejesho au ndio keshatolewa figo keshafilia mbali?
Bado hajafika mkuu safari ndefu sana
Tusubiri mrejesho hapa
Au still tunapishana hapa bongo kwenye daladala za kigilagila jet lumo
 
Miaka 10 yote ulikuwa hujui cha kufanya ndugu?
Ah sikua hata na mawazo ya kwenda ughaibuni. Zaidi naye hakuwahi nitamkia maneno ya kwenda huko wala mapenzi ila alikua akinisifia mnoo..nami nilichukulia tu amependa kunisaidia. Alikua akinisapoti tu kimaisha.
Niliamini kutoboa hapahapa nyumbani lakini naona siku zinaenda tu mradi zinaenda. Sasa yeye ndo kanichana na anataka niende. Alikua mpaka jamaa yangu aliyenifanya nijuane naye akija bongo anampa zawadi za kuniletea.
 
Ina maana tangu uko na 18 umeanza rondea bibi ya kizungu?

Nimeanza wasiliana ndio toka na miaka 18.
Yeye ndio alianzisha mawasiliano nami. Nimemjua kupitia jamaa yangu msomali mtanzania anayeishi huko
Mimi ni msomali kwa baba na mama mtanzania.
 
Back
Top Bottom