Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

Habari wakuu.

Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa.
Amekua akinisaidia hapa na pale.

Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki.

Pia anataka anisajili kama mrithi wa nyumba yake, kingine anataka nikienda nipate kazi, hataki nikae bure na kipato changu nikitumie kumsaidia mtoto wangu na ndugu zangu. Nchi ni Finland.

Wakuu nishaurini nikubali au la? Maana hapa mjini sina ishu ya kueleweka.
Kwa hiyo muhishimiwa,karibu unaolewa?
 
Kabisa dia...sie wacha tupambane na hawahawa waliopo bongo!!😜😘
🤣🤣🤣🤣Hawa wabongo vitombisee!!!.😂😂😂 Nipo kutafuta babu wa kizungu hakuna namna
 
hahaha ! .... kwenye kikao chetu si tulikubaliana tuishi humohumo lakini!!!!????🤣🤣🤣😜 .
Aiseeeeee ukipata wawili namie nikonektie kumbe bongo sio kabisa aseee🤭😂😂
 
Habari wakuu.

Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa.
Amekua akinisaidia hapa na pale.

Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki.

Pia anataka anisajili kama mrithi wa nyumba yake, kingine anataka nikienda nipate kazi, hataki nikae bure na kipato changu nikitumie kumsaidia mtoto wangu na ndugu zangu. Nchi ni Finland.

Wakuu nishaurini nikubali au la? Maana hapa mjini sina ishu ya kueleweka.

Picha
 
hahaha ! .... kwenye kikao chetu si tulikubaliana tuishi humohumo lakini!!!!????🤣🤣🤣😜 .
Aiseeeeee ukipata wawili namie nikonektie kumbe bongo sio kabisa aseee🤭😂😂
😂😂😂Hicho kipengele kiundwe upya... alafu tulikubaliana tusikaribishe stress kwa namna yoyote ile🤣🤣🤣🤣usijali dear ..unamtaka kibonge bongezz au kimbaumbau🤣🤣🤣🤣🤣
 
kabisa... stress tupa kulee!!! Maisha matramu haya weee
Asiwe kibonge wala mwembamba dia saizi ya kati...ila awe na stamina you know! Aweze kunibeba mie nashida zangu zote 🤣🤭🤭😜😜
 
kabisa... stress tupa kulee!!! Maisha matramu haya
Asiwe kibonge wala mwembamba saizi ya kati...ila awe na stamina you know! Aweze kunibeba mie nashida zangu zote 🤣🤭🤭😜😜
Ewaaaaaaa.life is too short my dear..tuenjoy n vi granpa vyetu sisee..🤸🤸🤸ngoja nifanye mchakato Nikupasie mmoja chap..!!
 
Will be so happy fanya hivvo nibadili race ya watoto mie!!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kweli wiii sema simkumbuki id yake alidondokewa na moyo wa binti wa Malta huko binti wa 17 years anasoma chuo ila binti anamuhudumia na kumtumia mi dolari jamaa huku bongo! Ndio binti akahitaji jamaa aende huko Malta!
 
Kwenye ishu kama hii dada zetu huwa hawajiulzi sijui kwanini,au wametuzid akil kwenye hayo mambo!
 
Nakupa blessings. Hakuna kitu rahisi duniani. Hata hilo ni jambo gumu. Nenda uwanja wa vita.
Na baraka zangu ni kwa wote hata dada zetu wanaopata vibabu vya kizungu nendeni mpambane. Hakuna formula rasmi ya maisha fanya kile unaweza na mradi huvunji sheria.
 
Achana naye kijana wangu, baki na familia yako na mwanao....ughaibuni kuna mambo mengi ya hatari..
 
vipi huyo bibi hajaanza kukufundisha protaste massage maana hawachelewi
 
Kweli wiii sema simkumbuki id yake alidondokewa na moyo wa binti wa Malta huko binti wa 17 years anasoma chuo ila binti anamuhudumia na kumtumia mi dolari jamaa huku bongo! Ndio binti akahitaji jamaa aende huko Malta!
[emoji2][emoji2][emoji2]nakumbuka na miye watu wakamshauri vya kumshauri sijui kaishia wapii

Back
Top Bottom