Niseme tu kila la kheri
Kwa hiyo muhishimiwa,karibu unaolewa?Habari wakuu.
Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa.
Amekua akinisaidia hapa na pale.
Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki.
Pia anataka anisajili kama mrithi wa nyumba yake, kingine anataka nikienda nipate kazi, hataki nikae bure na kipato changu nikitumie kumsaidia mtoto wangu na ndugu zangu. Nchi ni Finland.
Wakuu nishaurini nikubali au la? Maana hapa mjini sina ishu ya kueleweka.
π€£π€£π€£π€£Hawa wabongo vitombisee!!!.πππ Nipo kutafuta babu wa kizungu hakuna namnaKabisa dia...sie wacha tupambane na hawahawa waliopo bongo!!ππ
hahaha ! .... kwenye kikao chetu si tulikubaliana tuishi humohumo lakini!!!!????π€£π€£π€£π .π€£π€£π€£π€£Hawa wabongo vitombisee!!!.πππ Nipo kutafuta babu wa kizungu hakuna namna
Habari wakuu.
Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa.
Amekua akinisaidia hapa na pale.
Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki.
Pia anataka anisajili kama mrithi wa nyumba yake, kingine anataka nikienda nipate kazi, hataki nikae bure na kipato changu nikitumie kumsaidia mtoto wangu na ndugu zangu. Nchi ni Finland.
Wakuu nishaurini nikubali au la? Maana hapa mjini sina ishu ya kueleweka.
πππHicho kipengele kiundwe upya... alafu tulikubaliana tusikaribishe stress kwa namna yoyote ileπ€£π€£π€£π€£usijali dear ..unamtaka kibonge bongezz au kimbaumbauπ€£π€£π€£π€£π€£hahaha ! .... kwenye kikao chetu si tulikubaliana tuishi humohumo lakini!!!!????π€£π€£π€£π .
Aiseeeeee ukipata wawili namie nikonektie kumbe bongo sio kabisa aseeeπ€ππ
kabisa... stress tupa kulee!!! Maisha matramu haya weeeπππHicho kipengele kiundwe upya... alafu tulikubaliana tusikaribishe stress kwa namna yoyote ileπ€£π€£π€£π€£usijali dear ..unamtaka kibonge bongezz au kimbaumbauπ€£π€£π€£π€£π€£
Ewaaaaaaa.life is too short my dear..tuenjoy n vi granpa vyetu sisee..π€Έπ€Έπ€Έngoja nifanye mchakato Nikupasie mmoja chap..!!kabisa... stress tupa kulee!!! Maisha matramu haya
Asiwe kibonge wala mwembamba saizi ya kati...ila awe na stamina you know! Aweze kunibeba mie nashida zangu zote π€£π€π€ππ
Will be so happy fanya hivvo nibadili race ya watoto mie!!Ewaaaaaaa.life is too short my dear..tuenjoy n vi granpa vyetu sisee..π€Έπ€Έπ€Έngoja nifanye mchakato Nikupasie mmoja chap..!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]Kuna yule aliependwa na binti wa 17 years huko Malta.. aje kukupa mrejesho au ndio keshatolewa figo keshafilia mbali?
Kweli wiii sema simkumbuki id yake alidondokewa na moyo wa binti wa Malta huko binti wa 17 years anasoma chuo ila binti anamuhudumia na kumtumia mi dolari jamaa huku bongo! Ndio binti akahitaji jamaa aende huko Malta!
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio hukuππLete kwanza hayo mawasiliano ya huyo Bibi wa Kizungu nione kama anafaa au laah
π π π πOkay, dunia ina mambo...
Najaribu tafakari, mtu anawezaje kuwa na urafiki na bibi mtu mzima ambaye ni rika la bibi yake...!
Nataka shirika la viwango lithibitishe hili jamboUkisikia kuchanganyikiwa ndio hukuππ
[emoji2][emoji2][emoji2]nakumbuka na miye watu wakamshauri vya kumshauri sijui kaishia wapiiKweli wiii sema simkumbuki id yake alidondokewa na moyo wa binti wa Malta huko binti wa 17 years anasoma chuo ila binti anamuhudumia na kumtumia mi dolari jamaa huku bongo! Ndio binti akahitaji jamaa aende huko Malta!
Nimeanza wasiliana ndio toka na miaka 18.
Yeye ndio alianzisha mawasiliano nami. Nimemjua kupitia jamaa yangu msomali mtanzania anayeishi huko
Mimi ni msomali kwa baba na mama mtanzania.