Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

Wakuu nishaurini nikubali au la? Maana hapa mjini sina ishu ya kueleweka.

Kwahyo hio ndio ishu ya kueleweka.????

Jifunze kujitegemea...

Olewa na jimama nenda ukadeki huko but usi relax to that extent... Kumbuka wewe bado ni mwanaume...

Linda heshima yako.... Hatua unayoikimbia lazima utairudia... Takatisha ukiweza otherwise hustle utakuja kuzirudia huko mbele.
 
Anataka nifanye kazi na nisome zaidi. Sio kwamba nikae kizembe. Na hili hata huku alinifadhili kusoma professional short courses 2 tofauti.
 
Vipi unasubiri uje upigwe na kitu kizito na stress za mademu wa bongo. Tafuta Passport fasta uondoke hii nchi
Mimi kitu nimekuja kujifunza kwenye haya maisha bana fursa ikikutembelea usiilazie damu. Kwa sisi tunaoishi kanda ya kaskazini huku vijana kibao tu wamekamata vibibi/vibabu na wanasukuma life freshi tuu.. Mi nna jamaa zangu kibao wako na vibibi vyao kila siku wanaruka mtoni hasa ujerumani, denmark, finland nk. Jamaa wana maisha fresh tu wamefungua makampuni ya tours wana mijengo ya maana, wanapush mikoko heavy town na vibibi vyao. Madem nao hawako nyuma wengi unaona wana ma restaurant, ma boutique ya maana hela ni za vibabu.
 
Unataka kupiga mtu hapa wewe.
 
Anataka nifanye kazi na nisome zaidi. Sio kwamba nikae kizembe. Na hili hata huku alinifadhili kusoma professional short courses 2 tofauti.
Mkuu unaposali unamuomba Mungu akushushie baraka, usidhani Mungu ataacha shughuli zake aje akuletee baraka kwa miguu. Ndio kama ivyo kakituma icho kiajuza
 
Safi mkuu kwa moyo huo wa ukarimu
 
Nenda haraka. Ili mradi tu jitambue. Ukifika kule piga sana kazi. Mshahara wake uko juu. Wakati unapiga kazi kule,pamoja na kuwasaidia ndugu wekeza hapa nchini maeneo mazuri.
 
mkuu unaharibu sifa ya uanaume wanaume hatupendi kwa sababu ya... ila tunapenda kwa kuwa mioyo yetu inapenda over kama unampenda we oa ila kama ni kwa sababu ya pesa na ili uishi pambana tafta pesa yako ikikosa tafta mwanamke mnaeendana usipende mserereko wanaume tuliumbwa tutafte kwa jasho na wanawake wazae kwa uchungu, na ukishindwa kutafta kwa jasho utafilwa
 
Hiyo ndio njia kubwa pekee wanayoitumia vijana wengi kwenda ughaibuni
 
Usije kuoa kwasababu unapenda.
Itakugharimu mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…