Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

Okay, dunia ina mambo...

Najaribu tafakari, mtu anawezaje kuwa na urafiki na bibi mtu mzima ambaye ni rika la bibi yake...!
Ni kama Mrema na mke wake mpya.....mtu na mjukuu wake. Yote yawezekana ktk ushenzi.
 
Siku hizi kuna wanaume mnaojiuza kwa wanawake, looh dunia imeisha, wanaume halisi twazidi kupungua, huyo bibi usidhani ni mjinga sana kwamba hajui ulichofata kwake ni Pesa na mali tu, anakudanganya kuwa atakurithisha nyumba ili ujae kingi akufuje, warithi wa mali za huyo bibi ni wanawe Humanity comes first
 
Mkuu tambua kua maisha ya sasa yamebadilika, hiyo nadharia ya kula kwa jasho ni ya kizamani. Siku izi kila mtu mwenye mafanikio ujue kuna mahali kaotea MSEREREKO! Kumbuka hata wewe unavyopiga dili zako, unakula rushwa, unawaingiza kingi wajinga wajinga unapiga pesa ndefu, ule nao ni MSEREREKO! Cheki viongozi wa umma wanavyoserereka, wachungaji, matrafiki, mahakimu nk..... Ukikomaa na kula kwa jasho maisha haya utakufa masikini we tumia fursa yoyote ile inayojitokeza!
 
Aache kusajili watoto wake kwenye hiyo nyumba akusajili wewe??,

acha story na uongo wakitoto , anyway fake it till you make it

Na kama nikweli , kachukue PASSPORT faster upotee hapa bongo kasakae vibarua huko Finland
 
Adoption?
 
Kweli wa bongo tuko vizuri asee.
Tupe ramani za huko asee bongo jua kali njaa kali pesa hakuna.Umri una songa tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sasa unasubiri nini kukubali ,nenda katafute maisha huko ili kesho utupe connection ya vibabu vya kizungu [emoji6]
 
Ndo nyie mnaoenda huko kufanyishwa kazi kubebeshwa watoto na kufua vyupi vya watoto na huyo unaemwita bibi. Kwa mzungu hakuna Cha bure, lazima Kuna namna utalipiatu.

Lizika na maisha yako ya bongo kama anakupenda kweli akufate yeye uje uishi nae
 
Huku chuga wako vijana wameoa vibibi vibogoyo wanavisukuma nyama wanunuliwe landcruiser za kubeba watalii
 
Ndo nyie mnaoenda huko kufanyishwa kazi kubebeshwa watoto na kufua vyupi vya watoto na huyo unaemwita bibi. Kwa mzungu hakuna Cha bure, lazima Kuna namna utalipiatu.

Lizika na maisha yako ya bongo kama anakupenda kweli akufate yeye uje uishi nae
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…