pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..
Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii