Nimepewa kiwanja na Baba mkwe wangu naombeni ushauri nikijenge au nikiache kwa muda ila yeye amesema nijenge

Usijenge kwenye hicho Kiwanja.
Ukweni ni Maskani ilioletwa na urafiki, siku Ndoa ikifa Kiwanja cha mkeo+ Ndugu zake...
NUNUA KIWANJA CHAKO KWA PESA YAKO.
 
Kweli mawazo ya wengi ni kwenye ubaya tu, sijui ni umasikini sana
Baba mkwe kakupa kiwanja kwa ajili yako na mwanae ili mjenge na muishi maisha yenu

Wala usiwaze mabaya kwani ndoa ni baraka na maelewano pia
Wengi wanawaza mabaya tu
Sasa kama tutawaza kugombana je kuna haja gani ya kuoa?
Acheni mawazo mabaya kwani ndoa ni kuingia vitani?

Chukua kiwanja andika jina lako jenga
Huyo mzee anataka uwe karibu nae na kakupa heshima kubwa
Bila shaka angekuwa ana majumba labda angekupa moja
Ndio ungeona comment hapa wengine wangekutupia jini humu humu 😄 🤣
 
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..
Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii
Jiamini kichukue kijenge nyumba ya kawaida.. Majina weka ya watoto.. Kisha nyie kanunueni cha kwenu shusha kitu cha maana.. Ishi hapo
Vya bure vina manyanyaso hasa maji yanapovurugika
 
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...

Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.

Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..

Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii
Mtego huo Kaka.
Mwambie ampe binti yake halafu muambie asipende kukuzoea zoea.
 
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...

Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.

Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..

Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii
JENGA BWANA MKUBWA ILA

Nimendika nikafuta nikaandika tena nikafuta jenga kama unakifua kipana
 
Inategemea ntu na ntu.......ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara ama chini ya transfoma
Ila mimi nimejenga na naishi humo mwaka wa 30 na hakuna shida
Uamuzi ni wako, angalia ni familia ya aina gani umeoa
 
Zingatia Sana aya ya 3 ya Uzi wako na uifanyie kazi ipasavyo
 
hongera kwa kuingizwa kwenye mtego, kujenga nyumba hapo ni sawa na kumbusu MAMBA shavuni, siku mkigombana wife wako atakwambia km nyumba ni yako suka NGATA uibebe. kama akikupa fanya maamuzi magumu KIUZE kisha nunua kingine chenye hati yenye jina lako, vinginevyo ni fedhea na utakua umefeli kwa kishindo.
Umshauri vizuri Sana mkuu, akijichanganya litamkuta Jambo zito Sana na hataamini
 
Kweli mawazo ya wengi ni kwenye ubaya tu, sijui ni umasikini sana
Baba mkwe kakupa kiwanja kwa ajili yako na mwanae ili mjenge na muishi maisha yenu

Wala usiwaze mabaya kwani ndoa ni baraka na maelewano pia
Wengi wanawaza mabaya tu
Sasa kama tutawaza kugombana je kuna haja gani ya kuoa?
Acheni mawazo mabaya kwani ndoa ni kuingia vitani?

Chukua kiwanja andika jina lako jenga
Huyo mzee anataka uwe karibu nae na kakupa heshima kubwa
Bila shaka angekuwa ana majumba labda angekupa moja
Ndio ungeona comment hapa wengine wangekutupia jini humu humu 😄 🤣
Sure watu wanawaza kuachana2,
 
Aibu hii! Mwambie b'mkwe asante, nina eneo lingine la kujenga. Nakusihi kikombe hiki kiepuke mapema kabla fedheha haijakukuta. Kujenga hapo ni sawa na kujenga ukweni, ni aibu. Hata wanaokushauri ukiuze hicho kiwanja usifanye hivyo, acha kiwanja cha watu.
 
Kiwanja kapewa mkeo. Hakikisha kinabadilishwa na kuwa katika jina la mkeo kama sehemu ya urithi wake kutoka kwa baba yake.

Then mkeo ndo ataamua akifanyie nini. Kama kiko eneo ambalo kinaweza kutumika kwa biashara bila kujenga majengo ya kudumu mnaweza kitumia kwa namna hiyo, mfano kupiga tofauli etc.
 
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...

Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.

Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..

Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii
Kitafutie hati kwanza kiwe na jina lako.
 
Back
Top Bottom