pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu inakuwa kazi hata kumchapa hata makofi mawili..
Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii
Anakwambia ujenge?Wakuu habarini!!

Hata asipomuacha mkewe,siku huyo Baba mkwe akifariki,watoto wa huyo mzee watataka urithi wao,na hiyo Nyumba itakua ni mali yao coz ipo kwenye kiwanja cha Baba yao,Kuna mtu anaenda kuumia, We jenga tu ila tambua huji kumuacha mkeo hata akufanyie nini..
Mnatimuliwa wewe na watoto wako, noma sana hiyo ..Hata asipomuacha mkewe,siku huyo Baba mkwe akifariki,watoto wa huyo mzee watataka urithi wao,na hiyo Nyumba itakua ni mali yao coz ipo kwenye kiwanja cha Baba yao,
Hata kesi ikienda Mahakamani,wanashinda mapema sana hata kabla Jogoo hajawika.
Mwambie mkaandaliane DEED OF GIFT, na isome maneno mutual love and affectionNenda kwa wakili SIO mwanasheria amkabdhiane ushahidi wa exchange of documentation halafu mwangalie HUYO mtu kweli kamaanisha au ameongea kwa stress
Kwani wazazi wako ni malofa sana kiasi cha kupewa ploti na baba mkwe. Huoni ni madharau kwa ukoo wenu wote?Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata tukikosana na mke wangu..
Naombeni ushauri kwa wale mmeshawai pata kadhia kama hii