Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta



HIZI KICK NAZO ZINABORE. TAFUTA KICK NYINGINE. HIZI ZINABORE SABABU KUNA WATU WANAKAMATWA KWELI NA KUPOTEA
 
Acha uoga lipa madeni watu wa usalama wakitaka kukupata watakuja hadi mlangoni kwako labda uache kutumia simu uishi kama Osama.
 
Nataka nchi yote siku hiyo imtambue UMUGHAKA ni Kiumbe wa namna gani,nilitamani sana fursa kama hizi,hatimaye zimejileta zenyewe!
utafanya kama yule msomali. he is a living hero. mimi sina shaka na wewe najua hiyo roho unayo.
 
Aah umeanza na mkwara!Ngoja niwaambie wenzangu.
 
Una ugomvi nao? Au unahisi wanakutafuta kwa sababu zipi?
 
Grandiosity ni tatizo la afya ya akili
 
Kama Hali ndio hii!

Kuwa kipepeo ni kazi mbaya sana!!

Inaonekana wame tagert Watu wenye majina kidogo Wana umaarufu wa.kati na wanafahamika Ili wakipotea Habari zisambae na kumchafua wanaemtaka achafuke!!

Nakumbuka enzi zile za jpm.hali ilianza hivi hivi!
 
Umesema sahihi Mkuu

Ndiyo maana inashauriwa Bora kutembea na Kadi ya Benki kuliko fedha taslimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…