Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

Umughaka alikuwa mtu wa watu jamani 😭😭😭
 
Since day one mkuu, tuko pamoj hawa mapimbi hawataambulia kitu niamini
 
Tusubilie kuona mwisho wa huu mkwara wako.
 
Unajipa wasiwasi usio na maana, kama ni vyombo vya sheria au idara ya usalama ingekua inakutafuta na namba yako wanayo Wala hata wasingehangaika kuja kijiweni ungedakwa huko huko mbeya kama kuku
Sio rahisi kwa anaejua anatafutwa,
Kuna strong vpn
 
Wakuteke wewe una nini? Utakuwa ni nyinyi vibaka wa bodaboda mnaotusumbua maeneo ya Mbezi Beach na Kunduchi majira ya asubuhi na usiku kwa kukwapua mali hasa wakina mama na kukimbia na bodaboda zenu.
 
UBAYA UBWELA tu sasa hivi wanachukua watu kirahisi ila ipo siku itafika wakitumwa wakateke mtu watakaa chini wajitafakari weeeeh mana raia wakichoka watakuja kupigika mitaani na vibastola vyao mpaka wakubali
 
Ndio maana huwa nakubali sana katiba ya Marekani kuruhusu watu kumiliki silaha za moto na kutembea nazo kujilinda ,hii nchi useng£ sana umezidi , watu wanatekwa na kuuawa na kutupwa kama mizoga na hawawezi kujitetea , waseng£ wanatumia kigezo cha upolisi kufanya ujambazi na mauaji ,hii sio kabisa .
Hamna aliye salama , watu waruhusiwe kumiliki miguu ya kuku ,waseng£ wakijipendekeza ni kuwapeleka mbele ya haki tu na risasi za vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…