Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExctlyNa kikosi kazi hakimtafuti mtu bila sababu za msingi
Tusubilie kuona mwisho wa huu mkwara wako.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!
Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati tofauti na wakanialifu ya kwamba kuna watu wamekuwa wakienda pale kijiweni kunitafuta na wanadai ya kwamba nimewahi kukopa pesa kwenye taasisi Yao (Jina kapuni) na nimeshindwa kulipa Deni Kwa wakati na kila wakinipigia simu sipokei na wakati mwingine nimewapigia Block!
Mbaya zaidi hao watu wananifahamu Kwa Majina yangu halisi kama ambavyo kijiweni nafahamika kwenye daftari la Umoja wa madereva bodaboda/Bajaji hapo Bunju!
Binafsi sijawahi kukopa pesa kwenye taasisi yeyote Ile hapa nchini na kwasasa sihitaji mkopo wa aina yeyote,Pili,Hakuna mtu yeyote au taasisi anayenidai pesa au kitu chochote!
Kutokana na matukio yanayoendelea hapa nchini,washikaji zangu walikuwa na mashaka na hao watu na wao wamenitaarifu ya kwamba hao watu kimionekano ni watu eidha kutoka Jeshi la Polisi au idara nyingine ya Kiusalama hapa nchini,kwasababu naarifiwa maswali ya dodoso waliyokuwa wakiulizwa siyo ya kawaida!
Hapo kijiweni Kuna jamaa alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha tangu mwezi wa 5 hadi Leo hii haijulikani Yuko wapi!
Juzi moja Kuna jamaa alinipigia simu huku akinichangamkia kishenzi akitaka nikamchukue maeneo ya IPTL nimpeleke Mbezi,Binafsi nikajua anaweza akawa miongoni mwa abiria wangu,kwakuwa hakujua kama sipo Dar es salaam nilimwambia "Mimi Niko mbali kidogo boss,ngoja nimshutue mshikaji wangu aje akuchukue hapo,nampatia namba yako"
Jamaa "Mimi nakutaka wewe kaka maana huwa uko makini sana barabarani"
Mimi "Sawa boss lakini Niko mbali (Sikutaka kumwambia nilipo) sidhani kama nitawahi ndiyo maana nakuomba nikuitie mtu ninaye muamini atakupeleka na utafika salama"
Jamaa "Hapana kaka,wewe kama ni pesa nitakuongezea Mimi nakutaka wewe"
Hapo ndipo nilipopata mashaka kwasababu abiria wa bodaboda tunawafahamu na siyo rahisi kihivyo,pili,Jamaa bado aliendelea kunipigia Simu japo nilimwambia nimetoka lakini hakukata tamaa!,baada ya kuona huo Usumbufu sikupokea hadi Leo.
Sasa,nafahamu mko humu na mnanisoma vizuri tu,Niwaambie mambo yafuatayo nyie Vishoka!
Mimi naitwa UMUGHAKA wengine hupenda kuniita UMUGHAKA WA BHAGHAKA
Dar es salaam narejea Mwezi Ujao,na kama kawaida Dar es salaam Sina shughuli nyingine zaidi ya Udereva wa Bodaboda!
Siku mtakapokuja kijiweni eidha ni kunikamata au Kwa jambo lolote lile baya,Njoeni kabisa mkiwa mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyie au nife Mimi.
Narudia tena
Siku mtakapokuja kijiweni hakikisheni mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyinyi au nife Mimi.
NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.
Mimi ndiye UMUGHAKA
Umefanya nini katika kumbukumbu zako hadi wakutafute?Mkuu sijawahi KUTEMBEA na mke wa mtu na sidhani kama nitakuja KUTEMBEA nae!
Ni Machokoraa tu Hawa wanaoteka Teka watu hovyo!
Sio rahisi kwa anaejua anatafutwa,Unajipa wasiwasi usio na maana, kama ni vyombo vya sheria au idara ya usalama ingekua inakutafuta na namba yako wanayo Wala hata wasingehangaika kuja kijiweni ungedakwa huko huko mbeya kama kuku
Wakuteke wewe una nini? Utakuwa ni nyinyi vibaka wa bodaboda mnaotusumbua maeneo ya Mbezi Beach na Kunduchi majira ya asubuhi na usiku kwa kukwapua mali hasa wakina mama na kukimbia na bodaboda zenu.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!
Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati tofauti na wakanialifu ya kwamba kuna watu wamekuwa wakienda pale kijiweni kunitafuta na wanadai ya kwamba nimewahi kukopa pesa kwenye taasisi Yao (Jina kapuni) na nimeshindwa kulipa Deni Kwa wakati na kila wakinipigia simu sipokei na wakati mwingine nimewapigia Block!
Mbaya zaidi hao watu wananifahamu Kwa Majina yangu halisi kama ambavyo kijiweni nafahamika kwenye daftari la Umoja wa madereva bodaboda/Bajaji hapo Bunju!
Binafsi sijawahi kukopa pesa kwenye taasisi yeyote Ile hapa nchini na kwasasa sihitaji mkopo wa aina yeyote,Pili,Hakuna mtu yeyote au taasisi anayenidai pesa au kitu chochote!
Kutokana na matukio yanayoendelea hapa nchini,washikaji zangu walikuwa na mashaka na hao watu na wao wamenitaarifu ya kwamba hao watu kimionekano ni watu eidha kutoka Jeshi la Polisi au idara nyingine ya Kiusalama hapa nchini,kwasababu naarifiwa maswali ya dodoso waliyokuwa wakiulizwa siyo ya kawaida!
Hapo kijiweni Kuna jamaa alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha tangu mwezi wa 5 hadi Leo hii haijulikani Yuko wapi!
Juzi moja Kuna jamaa alinipigia simu huku akinichangamkia kishenzi akitaka nikamchukue maeneo ya IPTL nimpeleke Mbezi,Binafsi nikajua anaweza akawa miongoni mwa abiria wangu,kwakuwa hakujua kama sipo Dar es salaam nilimwambia "Mimi Niko mbali kidogo boss,ngoja nimshutue mshikaji wangu aje akuchukue hapo,nampatia namba yako"
Jamaa "Mimi nakutaka wewe kaka maana huwa uko makini sana barabarani"
Mimi "Sawa boss lakini Niko mbali (Sikutaka kumwambia nilipo) sidhani kama nitawahi ndiyo maana nakuomba nikuitie mtu ninaye muamini atakupeleka na utafika salama"
Jamaa "Hapana kaka,wewe kama ni pesa nitakuongezea Mimi nakutaka wewe"
Hapo ndipo nilipopata mashaka kwasababu abiria wa bodaboda tunawafahamu na siyo rahisi kihivyo,pili,Jamaa bado aliendelea kunipigia Simu japo nilimwambia nimetoka lakini hakukata tamaa!,baada ya kuona huo Usumbufu sikupokea hadi Leo.
Sasa,nafahamu mko humu na mnanisoma vizuri tu,Niwaambie mambo yafuatayo nyie Vishoka!
Mimi naitwa UMUGHAKA wengine hupenda kuniita UMUGHAKA WA BHAGHAKA
Dar es salaam narejea Mwezi Ujao,na kama kawaida Dar es salaam Sina shughuli nyingine zaidi ya Udereva wa Bodaboda!
Siku mtakapokuja kijiweni eidha ni kunikamata au Kwa jambo lolote lile baya,Njoeni kabisa mkiwa mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyie au nife Mimi.
Narudia tena
Siku mtakapokuja kijiweni hakikisheni mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyinyi au nife Mimi.
NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.
Mimi ndiye UMUGHAKA
Amekuwaje tenaUmughaka alikuwa mtu wa watu jamani 😭😭😭
Haina noma mrembo wanguSawa Mke wangu.
Kama ipi mkuu ambayo ni reliable kwa hawa manjagu wetu tz ila isiwe ya kulipiaSio rahisi kwa anaejua anatafutwa,
Kuna strong vpn
Hata za kulipia zipo nyingi tu for free(moded)Kama ipi mkuu ambayo ni reliable kwa hawa manjagu wetu tz ila isiwe ya kulipia
Dawa ni kuacha ukondoo na kumiliki silaha za moto tu .Watu wapo trained na kazi hizo, wana siraha, wapo wengi then jamaa anasema atawafurahisha wakija😁😁 aombe Mungu wawe vibaka wa mtaani tuu ila sio wajuba.