Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha shobo na wake za watu, hata kama mlikua marafiki wakubwa kiasi gani, Je wewe unaweza kuvumilia mke wako akiwa na urafiki wa karibu na mwanaume mwingine?
Ningekua mume wa huyo mwanamke ningeshakupa warning zaidi ya x3 na ningekua nishakuchapa makofi
Suala la sisi kutokuwa karibu lilishindikana siku nyingi kabla hata hajaolewa. Huyu binti amepitia mengi sana na mimi ndio nilikuwa msaada mkubwa kwake. Ndio maana ni vigumu sisi kutokuwa karibu. Kikubwa ni heshima kati yetu ipo vizuri sana. Mimi na yeye ni ndugu sasa.. Kwako najulikana na kuheshimika vilevile. Hata mpango wa harusi kati yake na jamaa ni mimi nilisimamia kwa upande wa mke. Ndio maana mume wake ananiamini sana na wala hatujawahi kuvunjiana heshima.Mke wa mtu unamuita binti. Yaani mke wau hutakiwi kuwa na ukaribu naye hata kwa bahati mbaya, huo ukaribu ulitakiwa uishe siku ya harusi
Jamaa anataka ale mke wa mtu kimasihara [emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huu ndo uharamia wenyewe
Umepewa zawadi wakati mume amesafiri! Pengine kuna ujumbe uliokuwa unapewa. Ila zawadi ni zawadi, huulizi kwa nini?Poleni na majukumu wakuu.
Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu.
]
Poleni na majukumu wakuu.
Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu.
Jaman mm nilimtonya mtu kwa mdomo kaenda kumwambia mdada kichambo kilinihusu bado niliendelea kumwambia usikule hapo aliniona mjinga lkn baadae nashukuru mungu alikuja kwangu akilia na kusema angejua angenisikiliza lkn ishatoka hyooooKuna demu unamtaka ila ameungua na yy anajua ila sasa ni rafiki yake pia kwaio kukueleza ukweli hawezi so amekupa kinga mapemaa usijeshika miwaya😎
Nyie si marafiki wa karibu ni vyema ukamuuliza kwanini hakukupa zawadi nyingne kaamua kukupa condomPoleni na majukumu wakuu.