Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

Bila shaka nyie wote mnaishi dar es salaam. Mwanaume wa kyagata hawazi vumilia huu ujinga. Urafiki na mke wa mtu?

Hao wa Mara ndio hovyo kabisa.....kwenye minada na mitera wanazurula pamoja wanawake na wanaume.
 
Una urafiki wa karibu hivyo na mke wa mtu?

Anyway amekupa utembee nazo, ili ukiingia 18 za mumewe na njemba zngne, wapate utelezi.

Acha ukaribu na mke wa mtu hivyo, tafuta mpenzi wako mgandane hivyo man.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom