Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

Utakua umekaa kidada sana.
Hapana... Ni vile jinsi tulivyozoeana na huyu binti tu. Tumepitia changamoto nyingi pamoja.. Kwa ufupi ni mtu ambaye tunaheshimiana sana.
 

Mke wa mtu unamuita binti. Yaani mke wau hutakiwi kuwa na ukaribu naye hata kwa bahati mbaya, huo ukaribu ulitakiwa uishe siku ya harusi
Suala la sisi kutokuwa karibu lilishindikana siku nyingi kabla hata hajaolewa. Huyu binti amepitia mengi sana na mimi ndio nilikuwa msaada mkubwa kwake. Ndio maana ni vigumu sisi kutokuwa karibu. Kikubwa ni heshima kati yetu ipo vizuri sana. Mimi na yeye ni ndugu sasa.. Kwako najulikana na kuheshimika vilevile. Hata mpango wa harusi kati yake na jamaa ni mimi nilisimamia kwa upande wa mke. Ndio maana mume wake ananiamini sana na wala hatujawahi kuvunjiana heshima.
 
Umepewa zawadi wakati mume amesafiri! Pengine kuna ujumbe uliokuwa unapewa. Ila zawadi ni zawadi, huulizi kwa nini?
 
Bila shaka nyie wote mnaishi dar es salaam. Mwanaume wa kyagata hawazi vumilia huu ujinga. Urafiki na mke wa mtu?
 
Achana na mawazo ya ngono, anakujali sana uyo mwanamke.
 
Ogopa sana platonic friendship na mke wa mtu. Kaa mbali nae as soon as possible kwa usalama wa MARINDA yako.

Thank me later
 
Kuna demu unamtaka ila ameungua na yy anajua ila sasa ni rafiki yake pia kwaio kukueleza ukweli hawezi so amekupa kinga mapemaa usijeshika miwaya😎
Jaman mm nilimtonya mtu kwa mdomo kaenda kumwambia mdada kichambo kilinihusu bado niliendelea kumwambia usikule hapo aliniona mjinga lkn baadae nashukuru mungu alikuja kwangu akilia na kusema angejua angenisikiliza lkn ishatoka hyoooo
 
Nyie si marafiki wa karibu ni vyema ukamuuliza kwanini hakukupa zawadi nyingne kaamua kukupa condom
 
hiyo ni dalili kuwa wewee ni kiwembe hataki upotee mazimaa
 
Hakuna shida katika urafiki wenu. Mimi Nina marafiki wa kike wawili, sasa wameolewa. N marafiki zangu hasa. Urafiki Kati ya Me na Ke upo. Tena n mzuri sana kama mtakuwa mnajitambua na kuheshimiana
 
Unapewa Kadi ya mwaliko

Jichunge sana,,, Cndom ina uhusiano wa moja kwa moja na mgegedo... Wala hakuna haja ya kutafuta tafsiri...

Kakupa ndom ukagegede,,, hayo sio maputo..

Ni kumuuliza tu ukagegede yeye au mwingine yoyote...

Acha mazoea na wake za watu,,, sio Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…