Akianzisha ID nyingine kwa ajili ya hilo nitaamini jamaa sio nati tu iliyolegea kichwani bali mpaka mtumbwi umekatika nanga .Ohoooo! Busu la Kenge haoni tabu kuanzisha akaunti zingine ilimradi azidi kukusumbua.
Kila la kheri kwenu, mimi siwezi fika userious wa namna hiyo hadi nimuignore mtuNi muhimu sana katika maisha
Nasema hivyo sababu akili yake naijua π.Akianzisha ID nyingine kwa ajili ya hilo nitaamini jamaa sio nati tu iliyolegea kichwani bali mpaka mtumbwi umekatika nanga .
Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo , ila Kuna scenarios utakutana nazo zitakufosi hivyo.Kila la kheri kwenu, mimi siwezi fika userious wa namna hiyo hadi nimuignore mtu
Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250
#UziTayari
nimemuonyesha hii kijana wangu wa forensic afanyie uchambuzi inaonyesha account no 2 4 5 na 6 kwa asilimia kubwa ni za mtu moja bula shakaMoja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250
#UziTayari
Badili content mkuu hizi content zako za kidini ndio hutengeneza enmity kwa member wa humu ligi za kidini hazina faida yoyote kidini wala kijamiiHata mimi nilikuwa na mtazamo huo , ila Kuna scenarios utakutana nazo zitakufosi hivyo.
Imagine mtu kila ukifungua Jf unakuta notification ukichungulia unakuta anakutukania Mama yako bila sababu yeyote just for fun , sasa hata kama wewe hauchukulii vita siriazi utakubali kila siku unayaangalia matusi tu si bora upige block usione na yeye ataacha automatically kwa kuona anayekukusudia kukukera hauoni ?
ππππ Hiyo kichwa ni ngaa ngaa arooiMoja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250
#UziTayari
Kwamba maghayo anapanua?π€£π€£π€£π€£ Ila maghayo kwa mbali kama chizi lakini ukimsogelea karibu ni chizi kweli sababu anapanua wigo Mpana sana ila Hana porojo zembe jamvini.
One thing ambacho sitamsahau anasema aliota ndoto akaandika Uzi wa msiba mzito mwezi mmoja na nusu kabla,Then baadae taifa likapata msiba. Yeye ni nani. π« π«
Kweli kabisa , jamaa kichwa chake kichafu sijawahi kuona kama kashawahi jirekodi anaNyetuka live baada ya kugombana na kina lamomy katika Uzi Fulani na kutupia live Jf ili awakomoe wadada hao unadhani ni kawaida hiyo ?Nasema hivyo sababu akili yake naijua π.