Nimepiga chabo sana semester nzima kuelekea UE msaada tafadhari

Panda dau na msimamizi tu hapo , kama wanapenwa laki 2 wewe jiongeze hapo maana tayari ushavurunda, pole
 
nasikitika sana nikiona waliopewa dhamana ya shule hawasomi[emoji26]...

mleta mada umewahi kukaa miaka10 home hujui hata maisha yako yanakoelekea? hujasoma? huna kazi huna lolote?
 
Nimeomba ushauri,,sijaomba kutukanwa
Hahahahahah mbona nmekshauri vizuri tuu sema unapenda vitu laini ndo mana umeona ushauri wangu Ni matusi.Nimekuita kilaza bada ya kuona unajitambua Na unajua nini cha kufanya lkn bado unaomba ushauri.

Kiufupi Ni kwamba haupo serious.
Kwa msomi wa chuo kikuu ambae yupo serious Na shule hawezi kuomba ushauri kuzembe namna hii.

Unapiga chabo,husomi,unadoji vipindi,afu unasoma chuo kikuu what do u expect!!?
 
Jiandae tu kuja mtaani tuisome namba wote kwa pamoja
 
Huku uzi utaku hunt sana kila utakapo tumia hii ID pole sana. Na kama upo chuo kikuu dar....kuwa makini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…