Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Daaaah cjui wanafanyaje watu wanapata pesa kias hcho me napambna lakin mambo nga nga kula yangu ya siku tu shida 😭😭..!! Kwel utajir bahat sio nywele za kwapa kila mtu awe nazo ila nitapambna tu sitachoka.
 
Maskini Pekee ndio hufahamu na kujua kuwa Tajiri anamatumizi mabaya.

Maskini Pekee ndio huona yuko sawa aktika Matumizi

Maskini ndio kiumbe pekee hujua kupangilia bajeti yake.

Maskini ndio kiumbe pekee humwona tajiri kama Adui na mwizi.

Maskini ndio mtu pekee anayeona ana haki katika ufalme wa Mbingu.

Maskini ndio mtu pekee humkataza Elimu ya Fedha mwanae ilia asije kuwa mwiziπŸ˜‚

Maskini Ndio hujiona ana usafi na hatma njema mbele ya Mungu.

Maskini ndio mtu pekee anayeona kujinyima kila kitu hata kilichondani ya uwezo wako kama ndio Sawa siku zote.
 
nashukuru umekubali idea yangu ya ushaidi wa movie ya harry potter ila unaonekana chadema wewe na una majeraha ya uchaguzi
duuh nimekubali idea yako kivipi? Kwani wewe ndiye mwanamama JK Rowling?
JK Rowling kwenye interview zake anasema ideas zake za Novels ni za kuFikirika (fiction & fantasy).
ingekuwa zile ideas za JK Rowling ni za kweli basi Europeans & Americans wasingehangaika kuwekeza Mamilioni ya USD kutengeneza Drones, Automobiles, Rockets, Jets etc. na badala yake wangewekeza kwenye kutengeneza Ufagio ili wapae kama kwenye fictional fantasy stories za mwanamama JK Rowling kwenye series za Harry Potter.
Mkuu, kifinga sasa unapoelekea mwisho utasema movies za Terminators nazo ni ukweli, na utasema pia Arnold Schwarzenegger ni Cyborg-Robot kweli kiuhalisia. hata yule T1000 liquid metal naye utasema ni kweli.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Daaaah cjui wanafanyaje watu wanapata pesa kias hcho me napambna lakin mambo nga nga kula yangu ya siku tu shida 😭😭..!! Kwel utajir bahat sio nywele za kwapa kila mtu awe nazo ila nitapambna tu sitachoka.
Tafta pesa mapambano waachie wanajeshi!
Misingi ya pesa hutaftwa! Siyo kupambana!
Unless uwe ni bondia wa ngumi za shilikisho!
 
Daaaah cjui wanafanyaje watu wanapata pesa kias hcho me napambna lakin mambo nga nga kula yangu ya siku tu shida 😭😭..!! Kwel utajir bahat sio nywele za kwapa kila mtu awe nazo ila nitapambna tu sitachoka.
Mkuu, siku ukiupata utajiri jiandae kuandamwa na siye masikini kila mmoja akikupangia cha kufanya kwa pesa zako.
Utaitwa Mtoa Ndagu, utaitwa Freemason n.k.
Ole wako uonekane unakunywa Soda, utaambiwa ndiyo masharti uliyopewa ili ubaki tajiri.
Hata ukipata ajali pia utaambiwa umeshindwa kufata masharti ya Freemason. As if mtu ukiwa Tajiri wa USD millions basi wewe hustahili kupata Misiba, Majanga, Ajali etc.
Na ukisikiliza na kufuata kila maneno hasi yasemwayo na watu basi maisha yatakuwa tafu kweli japo pesa unayo.
 
Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Lakini wanawake ndio hupenda mwanaume ambaye ana ukwasi kama huo bila kujali ni kwa mashart gan, mwanamke ukitaka akuchukie uwe maskini, nimewaona wengi wakiwa wanafurahia maisha ya anasa bila kujali waume zao wanapata wapi hela, yeye mradi ale bata kila siku
 
Kwa utajiri wa huyo mwamba lazima mbunye yoyote ipigwe,ngoja na Mimi nifuge ng'ombe za kulia mbunye
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukinywa soda shida ..!! Nitayakabir tu maneno yenu me muhmu nipate tu hizo pesa nilumbue maana shida hazijawah kuzoeleka jmn.
 
Tafta pesa mapambano waachie wanajeshi!
Misingi ya pesa hutaftwa! Siyo kupambana!
Unless uwe ni bondia wa ngumi za shilikisho!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa mkuu ila kutafuta hizo pesa ndo kupambna kwan mapambno siyo lazima uwe mwakinyo au blegedia shilingi pale msitu wa congo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukinywa soda shida ..!! Nitayakabir tu maneno yenu me muhmu nipate tu hizo pesa nilumbue maana shida hazijawah kuzoeleka jmn.
ukiwa tajiri, Sasa ole wako uonekane unakula Tembele au uwe na ka-nguo flani unakapenda kukavaa vaa mara kwa mara, Ohoooo utajuta, utaambiwa ndiyo masharti yako uliyopewa..
Utajiri is not for everybody, its like scoring grade "A" in Mathematics, siyo kila mtu atapata, ila tusichoke kupambana kutafuta.
Kitu chochote ambacho ni kigumu kukipata au kukielewa basi siye Africans wengi tunasema ni uchawi, Afrika burudani sana.

Na tukikukosa kote tutakusema unauza Ngada (cocaine, heroin, ecstasy etc.)
 
wewe vp mkuu unaupenda umasikini
 
Huo muda uliopiga mahesabu ya hela za mwanaume ungeutumia kuosha vyombo hapo kwa shemeji yako ili upewe ugali wa bure
 
Ile ni Ndagu ya kichawi,,unakua tajiri unakufa gafla,,wataalam wanaita Punje za mahindi kwa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…