Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Kama moyo wako unahisi kabisa mkeo anaku-cheat basi jitihada zako kuepusha hilo hazitofua dafu... Unapoteza muda wako tu kumchunga maana hadi sasa kwanza kashakujua weakness yako kwahiyo hata kama hakuwa na lengo hilo basi ni kama umempa wazo sasa.
Ke kama Ni malaya, Ni Malaya TU
Hamna excuse yoyote inayohalalisha MKE kucheat eti kisa tayar nmeshamshuku, nmemchochea
 
Jamaa bwana. You are so weak bro.
 
Ke kama Ni malaya, Ni Malaya TU
Hamna excuse yoyote inayohalalisha MKE kucheat eti kisa tayar nmeshamshuku, nmemchochea
Rejea kanununi ya binadamu mzee... Pindi unapojaribu kumzuia asifanye jambo fulani basi yeye huanza taratibu za kulifanya jambo hilo.... Ndo maana imekuwa ngumu binadamu kuishinda dhambi maana ni ni mambo ambayo tunahaswa kutokuyafanya.

Hata mwanao ukimuambia "Hichi usiguse" hatakama hakuwa akikigusa mwanzo basi kuanzia pale atakuwa anakigusa hata kwa kificho.
 
mke hachungwi kaka angu,wanawake wana akili chafu atasema kwa vile ananihisi hivi ngoja nifanye kweli hata na hous boy wetu.mluhusu aende utagundua tu fanya uchunguzi wa kimya kimya utagundua tu,kuto mruhusu hayo ni madhaifu ndugu
 
Mkuu toa mifano hai,
Unamtoleaje mfano Mtoto mdg,
Wakati unajua case inamhusu mtu mzima?

Nnachoamini Mimi, hamna excuse yyt kuhalalisha cheating kwa MKE wa mtu.

Nikibaini ananicheat, Moja kwa Moja ntamtia kwenye list ya wanawake Malaya, na ntajua kabisa hapa nilioa mke Malaya.
 
mke hachungwi kaka angu,wanawake wana akili chafu atasema kwa vile ananihisi hivi ngoja nifanye kweli hata na hous boy wetu.mluhusu aende utagundua tu fanya uchunguzi wa kimya kimya utagundua tu,kuto mruhusu hayo ni madhaifu ndugu
Kiukweli mkuu sahv siwez kumruhusu aende kokote,labda baada ya hizi sikukuu.

Kwasasa Najioana kabisa akili yangu haijajiandaa bado kukabiliana na stress fumanizi la mke wangu akiliwa mzigo na njemba.

Msitake niforce Moyo wangu afu baadae mskie nmeua mtu mje kuninanga humu "Sina akili"
 
Bonge la uzi Umelinyima haki zake!! Mkuu
 
Mkuu inaonyeshea ata umfuanie mkeo analiwa live huna ujasiri wakumuacha
 
mimi nimeipenda hiyo namba 6 embu nipe mbinu nimnyooshe mtoto wa mama mkwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…