Sasa nimeanza kuelewa msemo wa ule wa safari lager kitambi kwamba "safari moja huanzisha nyingine."Bado ninayo
Hahaha naona safari ya line imeanzisha kutoaminiana, itaanzisha kunununiana, na mwisho kufumaniana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nimeanza kuelewa msemo wa ule wa safari lager kitambi kwamba "safari moja huanzisha nyingine."Bado ninayo
Hiyo ndoa au idara ya serikaliWakuu,
Usiku wa Juzi nilivorud nyumbani,
MKE wangu alinipokea kwa uchangamfu na bashasha kubwa Sana,nami baada ya Lile tukio la sintofahamu ya laini mpya hivi karibuni, nilishajiapiza sitopanic Wala kuonesha kuchukia au kumshuku ananicheat.
Pia Nishaahidi nitakua kawaida ili kuweza kupata nafas ya kumchunguza. Hivyo nami nikamchangamkia vizuri Kama yeye vile alivonichangamkia.
Kisha baada ya kula,nmeoga nmepanda zangu kitandani kulala, ghafla akaanza kuniuliza Kama leo nmeongea na mama yake mkubwa wa mkoani, nikamjibu hapana.
ntake radhi mkuu, Sjawai tembea,kujisifu au kusifia wanaotembea na wake za watu mkuuHahaha pole Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupigiwa sio mchezo inahitaji moyo. Kila ukiwaza mkeo anavyopakwa mate akiwa anaandaliwa na njemba au ukiwaza mkeo anavyoirudishia Mashine inapochomoka akiwa anapigwa Mashine na jamaa lazima akili ikuruke !
Ila karma is bitch, Huwa unakuja hapa kujitapa kutembea na wake za watu. Pole sana jikaze
Halafu baadae mnajiuaMwanamke hachungwi ni kama bahari.
Unakosea sana kijana hapo mwanamke una muua Saikorojia yake yaani uyo mkeo anaenda kupunguza intimacy level juu yako
hata penzi atakupa kama baba au gaidi mbakaji na mean time huwez mzuia mwanamke ku date na mchepuko kwasab mchepuko by hu mda ndio huwa wana enjoy sana kwasb ndio comfortzone yake ilipo
wew mwanamke ina bidi una mcomand lakn mpe space yani una kosea Alpha male hawi hivo uki kaa vibaya unaweza lea watoto sio wako
mwanamke unapo mkera nirahis sana kuku cheat huyo kijana wa ng’ombe anaweza mpa nae au majiran wew si uko kazin kijana?
mwanamke ili akuheshimu lazma agundue kua unajiamin na yeye unamuamin hapo mnaenda sana
acha kumbana mwanamke and kama kosa ulisha solve unalileta mezan tena thats red flag kwa mwanamke
kama una nia ya kufanya uchunguzi izo signs unamuonesha huwez fanikisha kabsa kwasb 24hrs unawaza iko iko sehemu ya kuwekeza akili wew unaweka moyo huwez ona majibu sahihi Change your plan bro
Huo ni ukweli wanawake wengi wanaolewa kwasab ya kutimiza ndoto tu ya kua na mume lkn wengine Ex wao waliachana kwa aman means penzi lao lipo hai kwaio huwez zuia wao kuendelea
wanaume wenye wivu au kuwachunguza sana wanawake mahusiano yao huvunjika kaka badirika ukiendelea ndoa yako inaenda kua chungu sana
Rudia kusoma hii com
Aisee! Kuna madini nmepata apa[emoji848]Ushauri
1. Mpe nauli mwambie ulikuwa unamzingua kupima imani yake. Na mwambie amefaulu kwa sababu amekuheshimu na kukusikiliza. Mwambie unamuamini na huwezi kumfikiria vitu vya kipuuzi kwani yeye ni mke bora.
2. Usimfuatilie kipindi hiki ambacho tayari umeonyesha ku-suspect kuwa huenda anaku-cheat.
3. Kama hauna ushahidi wa moja kwa moja usipende kumshutumu mkeo au kumuuliza maswali yanayoonyesha humuamini. Huko ni kujishushia heshima kama mwanaume. Na unamfanya akuonee hujiamini na unanipenda kupitiliza. Hilo ni kosa ambalo wengi wanafanyakwenye mahusiano na ndoa.
4. Fanya uchunguzi mkeo akiwa huru. Hivyo muachie uhuru kifanye kama unamuamini.
Ni kosa kubwa kumchunguza mtu ambaye tayari anajua humuamini. Kwa sisi majasusi tunà- Cancel upelelezi.
5. Mkeo anaweza kugongwa kirahisi ikiwa utakuwa mtu wamihemko.
6. Mkeo akiwa mjanja atatumia udhaifu wako kukutesa na kukutia stress za mapenzi hata kama ha-cheat anaweza kukuchezea dramaili uumie tuu moyo wako.
7. Tayari ulisham-cheat na anajua hivyo anaweza kutumia hiyo kama kulipa kisasi hasa akigundua kuwa kumbe hata wewe unaumia.
8. Mkeo atajihakikishia kuwa kumbe huna uwezo wa kujua yeye aki-cheat ndio maana unatapatapa. Unatakiwa ukishakuwa na uhakika ndo unazungumza na mkeo kuwa habari zake zote unazo. Na mwambie kuwa hakuna chochote atafanya usijue. Muda huo unadata na ushahidi wote.
Sio mihemko yako ndio utumie kuendesha hayo Masuala.
Hiyo itamfanya akuweke kwenye comfort zone Wakati huna wasiwasi yeye ndio ataku-cheat.
Mimi ni hayo tuu
Aisee! Kuna madini nmepata apa[emoji848]
Inauma sana, na kukushusha thamani mbele yakeUmeoa mkuu?
Hivi unaujua uchungu wa hisia za kuchapiwa mke kweli?
Kuna vitu Kama hujawai kuexperience, Ni Bora ukae kimya TU.
Walio kwny ndoa wanaelewa namanisha nn
Hilo nishaliwaza Sana,Umeharibu ..ungemruhusu..ila ungemuwekea truth spy kwanza..halafu unamuaga kwa bashasha..hapo ungeupata ukweli ..umetumia hisia sana kuamua