Ukifa tukufukie kama mzoga au utazikwa na City?Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile tulikutana ukubwani mi nimeachana nae aendelee kuwa nyumbu wa huu ujinga wa kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni.
SERA YANGU:Mbingu yangu ni hii good life niliyo nayo kwa sasa nikifikwa na majanga basi itakuwa jahannam yangu.
KAMA UNAUNGANA NA MIMI GONGA LIKE TUJUANE
Nitazikwa ila sitaki maujinga yenu ya kuniombea coz hayasaidii wala nini na sioni tija yake kwa sababu hamjawahi fufua mtu wala kuhakiki kuwa maombi yamemfikisha marehem peponi.Ukifa tukufukie kama mzoga au utazikwa na City?
Waifu matirio.Waebrania 11.
Its only by Faith.. nothing else.
😂😂 You are missed totooWaifu matirio.
Islamic knoledge, binadamu smart unapaswa kusoma vitabu tofauti.Ili wakagundue nini?