min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mimi cha kwangu nilikaacha kaende ,kwa sababu kalikua na bibi yake.,ila nilishangaa siku moja kaliniambia dini ina kautapeli , nilishangaa sana😁😁😁Waache waendelee kwenda tu
Dini sio kuhusu kwenda mbinguni tu, ni sehemu ya maisha.
Fikiria watoto wako wakiwa shule wanaambiwa wasali au waende kwenye vipindi vya dini, wataanzaje kujieleza kwamba sio waumini?
Wakiwa na marafiki zao, au ndugu?
Waache wakue kwanza. Kama ni wakubwa kwenye rika la chuo hivi ndo watachagua wenyewe, usiwalazimishe.
Huo ni ushauri kutoka kwa mpinga dini mwenzako....