Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Kuna msemo mmoja unasema nanukuu ; '" Sungura amelala, tena amelala uchi, ukimuamsha utalala wewe"Kwa kweli tunaenda kuwajaza watoto mataka taka yasio na ulazima vichwani mwao bila sababu ya msingi.
GB za mtoto wa Kiafrika anajazwa yakikushinda hapa duniani komaa na mchongo wa kwenda peponi ukaonane na Yesu alafu mchina anampika mtoto wake katika kuaminia matumizi sahihi ya ubongo na crafts mbalimbali ili baadae awe producers na mvumbuzi we huoni sisi tunatengeneza kizazi cha watu wavivu.Mfano hao Gen Z wametandikwa na umasikini mpaka wanahisi ahueni yao inapatikana kwa kumtoa rais madarakan maana swala la BILL rais alipiga chini kusaini ila bado wanaandamana.
Njoo Tz nyumbu zimetingwa na life zimejazana kwa Mwambosa ahueni ya life hawaioni japokuwa wamemsogelea Mungu.
Tuliogundua mchongo tupo tunapiga ma businesses na maisha yanasonga kwa speed nzuri muda wa ibada si tupo tunapush mizigo tu kwa nini tusiwapite kwa muonekano,hela na hata utajiri
Nakuelewa sana mkuu.