Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mbona huko Middle east watu wanauana daily na ukichunguza ni mataifa ya kidini?Hao watoto unaowakataza kwenda kusikia maneno ya Mungu ipo siku watakuinukia wakukate vipande vipande.
Au Hamas na Israel ni Atheists?
Hujui kuwa dini ndio core ya fujo zote?
Hujui kuwa hata njia iliyotumia dini kusambaa ulimwenguni ime spread through violence?
King Leopold wapili kule Congo ameua mamilion ya wakongo kwa kutumia Biblia.
Hujui hata Mungu wa Biblia mwenyewe alitoa command kwa Mussa kuwa watu wapake damu za kondoo juu ya milango yao, nyumba ambazo zilikiuka agizo zilipata pigo la mtoto wa kwanza kufariki.
Mtoto ambaye hajui baya wala zuri anahukumiwa kifo kwa makosa ya mzazi ya kutotimiza maagizo ya Mungu.
Je hayo ndio mafunzo unayotaka jamaa amfundishe mwanaye?
Yani mtoto asome mafunzo ambayo yanaonesha hatari ya yeye kuweza kufa kutokana na uzembe wa baba?