Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

Siku nyingine usifanye hivo

Kama unahamu ya kupigana ukimkuta na demu wako mwache kabisa

Mtafute akiwa peke yake

Dunda utakavyo na usimwambie sababu ya kumdunda hafu sepa

Kwa Nini ugombee shimo

Kishimo chenyewe takataka ndiyo maana anakitembeza
Ndivyo ilivyo kupigwa mtu lazima
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Kwanini huyo demu hatumii nguvu hiyohiyo kulinda penzi lenu mpaka ww ndio upigane?
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Mshamba wewe. Na rasmi huyu demu akupendi. Umejidhalilisha kima wewe.
 
Ananipenda sema jamaa anamrubuni.
Mkuu sio ww ndy unamrubun unaingilia napenz y watu uneza hisi ww ndy main man kumbe ww ndy anakuona danga ?
Halaf kugharamia ni subjective san inaeza wakat we unampa 20k kwa siku mwnzko anampa50k kwa siku alafu unahs ww ndy unagharamia au ulshawah muulza anampaga kias gan cha matumiz
 
Sidhani maana niko nae mda mrefu na pesa za matumizi nampa mimi, sidhani kama jamaa anampa chochote
 
Usirudie tena bro, mi ishawahi kunitokea. Asee, hapo ni kama unatumia nguvu kwenye mapenzi.

Kulazimisha mapenzi ni kitendo kinachoshusa sana hadhi ya uanaume wako. Labda kama manzi kamkataa mchizi ili jamaa anafos, ila pia hupaswi kupigana.

Mtafute jamaa umeombe msamaha, hiyo ndo itaridisha hadhi yako ya kiume
 
Ndo nataka kumuoa huyo
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Inabidi wewe na demu wako huyo jamaa awaoe tu
 
Back
Top Bottom