Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Umri wako MKUU
Ila ukiwa utaacha Maanga mademu ni wengi sana Tena wazuri
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Unapigana na mwanaume mwenzako kisa dem badala upigane na dem wako.
Mimi sitakagi mashara mwanamke nakuhudumia afu unakigawa kule nikigundua huwa napita tu kushoto nisipokula rafiki yako nitakula mdogo wako, nikipagawa nakula mama yako. Au wote kabisa ili akili ikukae vizuri.
 
Umefeli sana mkuu

Jamaa umemuonea bure, ulitakiwa uumshukuru huyo mwamba amekuonyesha kuwa demu wako hajatulia ndiyo maana kampa uchi

Piga chini malaya huyo
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Umefanya ujinga sana. Demu /mwanamke hagombaniwi.
Ipo siku utafungwa jela halafu mwanamke anaolewa ndiyo utajua ulifanya ujinga sana kulinda bahari
 
Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Unatoa wapi mawazo ya kupigania kitu ambacho hutembei nae kila sehemu Wala hukai nae. Kiufupi, wewe huna Cha kumzuia kufanya/nywa.
 
Huyu demu nimegharamia sana naweza kuua mtu juu yake
Tatizo lako kubwa ni kua na demu mmoja tu kama roho.

Nimewahi kusema humu kwamba kijana hakikisha una mademu wakali wasiopungua watatu at any time T. Hii itakusaidia:
1. Hautamuona demu yoyote kama mama yako, kwamba bila yeye huwezi kuishi
2. Itakujengea comfidence kama mwanaume
3. Hautatumia gharama kubwa kwa yoyote kila mmoja unampa kidogo kidogo hakuna atakaekuuma
4. Yoyote kati ya hao wa3 akizingua kumpiga chini ni sekunde wala hutawaza mara 2 na wala ukimkuta mmoja na mwanaume huwezi kupigana
5. Itakupa morali ya kutafuta hela zaidi
6. Mwanamke akijua yuko peke ake tu, anaanza kukuona kama mbuzi. Anaanza kuwaza kwanini wanawake wengine hawakutaki..?
 
Back
Top Bottom