bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Inategemeana na jambo lipiWatu wa zamani na sasa wapi Wana akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemeana na jambo lipiWatu wa zamani na sasa wapi Wana akili?
Utagongewa sana tuKwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
Utagongewa sanaHuyu demu nimegharamia sana naweza kuua mtu juu yake
Huyo demu hakufai kabisaaaaaa! Kwa sababu kama alijua wewe unamahusiano naye Kwa Nini anamkubalia mwingine hata Kwa kumsogelea na kuwa na mazungumzo nae dakika nyingi?Kwema wakuu,
Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.