Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikumtukana hataki nimrekebishe akikosea na hataki na mtoto akifanya kosa hataki nimuadhibu au kumgombeza mbele yake sasa kichapo kilianza pale nilipojaribu kumkosoaHakuna anayepigwa pasipo sababu ndio useme ulimfanya nn
nimezaa naye watoto watatu,mume wangu ni mtu wa manyara,wazazi wako hai,kosa alilonipiga nilimkosoa kwa alichokifanya ambacho hakikunifurahisha mimiPole sana,naomba nikulize hii ndio mara yako ya kwanza kupigwa? amekupiga kosa nini? mumeo ni mtu wa wapi? umesha zaa nae? wazazi wenu wako hai?
jamani wadau naomba msaada nimepigwa na mume na kuumia vibaya sheria iko vipi katika hili