Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Yaani boss wanamjua namba yake na kusave jina hapo hapo wewe hujashtuka? Hata hivyo sishangai maana watz uwezo mdogo sana wa kuchakata mambo.Hiyo situation ni ngumu sana kuchomoka aseeh! Jamaa sio lazma wakuombe kuchomoa line, rafiki yangu aliombwa tu simu apige.. yaan within seconds mtu kashabadili jina! Ngumu sana kuchomoka hapo japo i can't rule out uwezekano wa kucheza hiyo game
Kinachofanyika ni kwa mfano, mimi nasevu namba yako kama "boss bush" tapeli akichukua simu yangu anachokifanya anaedit namba tu kwa kuondoa za boss og na kuwekwa namba feki lkn jina ni lilelile, hiyo inakuwa mbaya zaidi kama boss na mfanyakazi wana kawaida ya kuwasiliana kwa kuchatiYaani boss wanamjua namba yake na kusave jina hapo hapo wewe hujashtuka? Hata hivyo sishangai maana watz uwezo mdogo sana wa kuchakata mambo.
Inamaana aliwatumia pesa kwa kupigiwa au kwa ujumbe?Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake Jana wakaanza kumtumia meseji kwamba awatumie pesa na wakatoa namba nyingine yaani wanajifanya wao ni Mimi kwamba nimepata shida Sasa binti akawa anatuma mpaka ikafika milioni 8 ndipo alipoishiwa float
Sasa akawapigia wakawa hawapokei simu akafunga safari kuja nyumbani akamkuta wife aisee alivyomuambia wife ndio akanipigia kuniuliza kusema ukweli nilipigwa na shoti ya mwili ghafla nimetandika vibao huyu binti mpaka muda huu naandika huu.
Uzi sijui nifanyeje maana jamaa tulitaka kurudisha miamala kucheki washatoa muda mrefu
Naombeni mliopitia hii situation mlivukaje maana kichwa kinawaka moto leo
Aisee hatari sana.Kinachofanyika ni kwa mfano, mimi nasevu namba yako kama "boss bush" tapeli akichukua simu yangu anachokifanya anaedit namba tu kwa kuondoa za boss og na kuwekwa namba feki lkn jina ni lilelile, hiyo inakuwa mbaya zaidi kama boss na mfanyakazi wana kawaida ya kuwasiliana kwa kuchati
Uzi ulitakiwa uwe mwakani, anaeleza yaliyomsibu mwaka huu hapo sawaKwanini usiongee na JB mshirikiane kutengeneza bongo movies maana kwenye kuandaa script uko vizuri sana
Naam mkuu ndiomaana situation kama hiyo kung'amua kwa harakaharaka haiwi rahisi mzee.. ni sawa na mchepuko uondoe namba ya wife na kuweka yake kwenye namba iliyoseviwa kama wife... alafu aaanze kukuletea mitego 😂😂 lazima tu akutikise kiainaAisee hatari sana.
Huu ni ujasusiNaam mkuu ndiomaana situation kama hiyo kung'amua kwa harakaharaka haiwi rahisi mzee.. ni sawa na mchepuko uondoe namba ya wife na kuweka yake kwenye namba iliyoseviwa kama wife... alafu aaanze kukuletea mitego 😂😂 lazima tu akutikise kiaina
Hahahauwa ni mixer na ndumba hawaji na maneno matupu hao 😁
Yani hata kesho kazini atafatwa tena na Tapeli na atajaa vizuri tu tena, Chezea viumbe wewe 😅😅Hahaha
Sio rahisi km unavyofikiri mimi sipendi kufahamiana na watu wa humu..!!sawa sindo tunafahamiana.. Nipe hio chance dadaangu
Aisee ni hatariBiashara ya Wakala ni pasua kichwa asikwambie mtu....tuliamua kunyosha mikono juu....👏
Tulizinguana kwenye MaslahiSasa kwa nini uliacha?
How much do you want to be paid?Tulizinguana kwenye Maslahi
How much do you want to be paid?
Reasonable.300k