Nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini

Feruzi; Ninao ninao...
Prof. J : subiri vipimo...

ninao ninao..subiri vipimo

nimekumbuka wimbo wa FEEUZI_STAREHE.

kwa Sasa kua mtulivu ukimwi sio mwisho wa ndoto Wala mwisho wa maishaa zingatia pia subiri utimize miezi mi 3 au zaidi hope utakua hauna maambukizi acha hofu.
 
Tukudunge sindano ya damu ya mgonjwa wa ukimwi kwanza kisha utamke hivyo ukiwa tayari umeshajiunga kwenye database ya wapokea ARV
Sio kudungwa likikupata haina haja ya kutapatapa utafanyiwa guidance & counseling ili uweze ku accepting Hali..ili uishi kwa matumaini..

Kubishana na Mimi kuukataa ukweli, kunywa sumu, kujinyonga kwa Sasa hakuta msaidia yeye kwa Sasa awe mtulivu na mwenye kua na subra.
 
H
Mkuu ni dalili gani umeziona na unahisi una UKIMWI ? Kwanza ukipima tu baada ya wiki tatu kama una maambukizi zinaanza kuonekana sphylis , wala siyo baada ya miezi mitatu , hivyo basi ondoa hofu na hofu huwa mbaya , kwenye vipimo umeenda mara ngapi kupima ? Nakushauri uende kupima bila kuchoka tena kila baada ya mwezi pima .
Ushauri wa watu wengi wa humu ndani unakatisha tamaa ,hivyo usiamini maneno ya wanadamu ambao wengine hawatumii taaluma .
 
Waweza kuwa na tatizo jingine lenye dalili zinazofanana na HIV na ukawa huna HIV wa AIDS . Tulia Acha Wenge mkuu
 
Mkuu nimeota mafunde funde unayajua
Mafua makavu 3 weeks
Vidonda vya koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…