Nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini

Kama hauamini,mtafute HIV victim umuombe u-house upige.Acha kuchosha waungwana.
 
Ndio hao hao wanakwambia kavu ndio mpango mzima wanapita mpaka lafu road kavu kavu bila mipira
Kwahiyo unaamini ukitumia KONDOMU uko salama dhidi ya maambukizi ?
 
Bado kipimo hakijathibitisha hata kama dalili zote zipo
 
Ulivyo andika group O nimejua tayari wewe ni mpumbavu na hauna uelewa kuhusu Ukimwi. Aliyekuambia Group 0 inaweza kukusaidia usipate HIV ninani
Hamna sehemu nimeandika group O hawapati ukimwi

wasio pata n nan wale ambao hawana receptor !
Punguza makasiriko bila kusoma na kuelewa
 
Acha woga mi mkware mzoefu ma ex wangu kumi na mwanangu mmoja wametangulia na wife yupo na tiba shufaa Sina chembe ya kirusi na ,'nyagi kama kawa.
 
Naomba kukusahihisha namba 3 hapo.
VIpimo vya bioline tulivyonavyo vinawezaweza kudect kuanzia wiki tatu baada ya kuambikizwa lakini hiviwezi kudect case zote Kwa hizo wiki tatu. Baada ya siku 90 cases karibu zote zinaweza kuwa detected. Kipimo baada ya siku 90 kikiwa negative ndo conclusive but kukutwa positive hata baada ya wiki tatu inawezekana
 
Kwahiyo unaamini ukitumia KONDOMU uko salama dhidi ya maambukizi ?
Siyo salama sana ila inapunguza uwezekano wa maambukizi japo kwa 40 percent,ushauri ni kuepukana na ngono zembe tatizo vijana wakiambiwa waoe hawataki.
 
Siyo salama sana ila inapunguza uwezekano wa maambukizi japo kwa 40 percent,ushauri ni kuepukana na ngono zembe tatizo vijana wakiambiwa waoe hawataki.
Kumaliza tatizo nikuoa 😁nakuoa napo kuna kuletewa magonjwa , nachoshauri hapa nikupiga maombi ,na kwanini unasema KONDOM INAPUNGUZA NA SIYO KUZUIA KABISA WAKATI NI KINGA , JE KAMA KONDOM HAIJAPASUKA KUNA UWEZEKANO WAKUPATA UKIMWI ?
 
Jichanganye wewe sasa uone
 
Acha woga mi mkware mzoefu ma ex wangu kumi na mwanangu mmoja wametangulia na wife yupo na tiba shufaa Sina chembe ya kirusi na ,'nyagi kama kawa.
Huyo mwanao umemaanisha mwanao wa kumzaa au msela wako mlikuwa mnapiga wote mande modelize ”three some”?
 
Kumaliza tatizo nikuoa 😁nakuoa napo kuna kuletewa magonjwa , nachoshauri hapa nikupiga maombi ,na kwanini unasema KONDOM INAPUNGUZA NA SIYO KUZUIA KABISA WAKATI NI KINGA , JE KAMA KONDOM HAIJAPASUKA KUNA UWEZEKANO WAKUPATA UKIMWI ?
Mkuu,wanawake wenyewe ni hawa vijana wanaookota huko mabarabarani wengine wana vidonda midomoni unakuta wakati wanabadilishana ndimi wakati wa kuzini maambukizi yanapita humo humo.

Mimi baada ya dhambi kingine kinachonifanya niogope kuokota wanawake mitaani ni huko kukosa sex salama,kuwa hai na kuwa na afya bora ni jambo la muhimu sana kuliko kuwa hai ukiwa na afya mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…