Heri utumie kuliko KAVU.. 😽 watu wanaokwenda kununua wanaojiuza je wanaojiuza ni salama ?Labda condom ya Chuma au Bati ila haya manailoni ni Mungu tu hua anaamua ugomvi ila wapo wanaotumia na kitu imo
Kiukweli afya mbovu inarudisha nyuma hata utafutaji haswa kwetu sisi vijana .Mkuu,wanawake wenyewe ni hawa vijana wanaookota huko mabarabarani wengine wana vidonda midomoni unakuta wakati wanabadilishana ndimi wakati wa kuzini maambukizi yanapita humo humo.
Mimi baada ya dhambi kingine kinachonifanya niogope kuokota wanawake mitaani ni huko kukosa sex salama,kuwa hai na kuwa na afya ni bora jambo la muhimu sana kuliko kuwa hai ukiwa na afya mbovu.
Hao wanajitoa muhangq wanajilipua liwalo na liwe ila kashusha mzigo wa pumbu safi kabisaHeri utumie kuliko KAVU.. 😽 watu wanaokwenda kununua wanaojiuza je wanaojiuza ni salama ?
tuliza akili zako babongea na wataalamu,acha huo ujinga wa kujifanya unajua kumbe mpuuzi mtupu,ungekuwa unajua ungenyanduana kwa kinga,shubamitiWakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
kijana hujui unaloongea!!tuliza akili zako babongea na wataalamu,acha huo ujinga wa kujifanya unajua kumbe mpuuzi mtupu,ungekuwa unajua ungenyanduana kwa kinga,shubamiti
useeHao wanajitoa muhangq wanajilipua liwalo na liwe ila kashusha mzigo wa pumbu safi kabisa
Asante mzee
AmeniKiukweli afya mbovu inarudisha nyuma hata utafutaji haswa kwetu sisi vijana .
My take : tujizuie kwa khali yoyote ile kuepukana kuishi kwa matumaini , pia naamini ndugu yangu hapo JUU hajaathirika lakini hofu imemtawala tu.
kwemaKama hauamini,mtafute HIV victim umuombe u-house upige.Acha kuchosha waungwana.
Afya kwanza lo.
1.kwani ulipigaje adi uwe na mashaka ivo? au uli.fi.ra kavu?Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini
Kwanini siamini
1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge)
2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay
3.Window period ni siku 90
Na vipimo vyetu vya bioline vinadetect had mtu afikishe miezi mitatu
4.kutumia dawa kipindi cha acute phase kinaweza kikachelewesha antibodies kwa kua dawa zinazuia virusi visizaliane kwa kasi
Kifupi nimeona kila dalili ya HIV hivo nishajikatia tamaa
Yalipita mbali sanaa1.kwani ulipigaje adi uwe na mashaka ivo? au uli.fi.ra kavu?
2.ulikunywa pep masaa mangapi baada ya tukio? yalizidi masaa 72?
nikweliAfya kwanza lo.
Pole yake
unaweza usipate had michubukoWakuuu hivi nikiweka na kuchomoa kwa mwanamke (ukeni) mwathirika napata VVU au nikapiga goli moja tu bila kutokea mchumbuko wala vulugu zozote. Napata VVU??
NOMA SANA MKUU.Wazee wa kupiga kavu kwa futa jingi au sio?.
Juzi kati wamemzika mmoja. Alikuwa haogopi mwishowe akapata mdudu.
niamkejeAmka mzee ....
daah hiyo inaitwa kamikaze style mtu kashajikana mazima uyo liwalo na liweAnamaanisha yaan unaujua ukimwi mpaka unaanza kujitishia mwenyewe kuna wahuni wanakula kavu halafu vitu wanavyokula ni vibovu balaa ila hawapimi ngwengwe na wala hawawazi ndio kwanza wanaendelea kula bia kula nyama choma kula pombe kali kesho wanavisaka tena vitu vibovu wanazama mpaka uvinza na hawawazi km kuna umeme au luku