Nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini

Mtoto anautaka huyu
 
hyo ckua najua
 
mkuu yaan una HIV AAFU IONEKANE SYPHILIS

NAHITAJI ELIMU HAPA
 
mkuu yaan una HIV AAFU IONEKANE SYPHILIS

NAHITAJI ELIMU HAPA
Kile kipimo cha HIV kabla ya maambukizi yenyewe kujidhihirisha huwa kinaonesha syphilis ambazo ni dalili za maambukizi kabla yakuwa HIV positive ,unachopaswa ndugu yangu nikukubaliana na hali, ikitokea umeupata ugonjwa huo maana siyo mwisho wa maisha, kingine ondoa hofu , endelea kupima kila baada ya mwezi mmoja kuisha ,naimani utapata majibu ,kingine hofu ni mbaya sana ,magonjwa ni mengi na mengine huonesha dalili kama za HIV hivyo unapaswa kuwaona madaktari ili wajue tatizo lako kwa kina , ungenionesha hayo mavunde mavunde ningejua nianzie wapi !, Pvt ningekupatia majibu nakukushauri utumie dawa gani ?
 
Nikupe mfano , nimewahi kutembea na mwanamke ambaye kuna mtu aliniambia mwanamke yule ana HIV , roho yangu ikaruka na roho ilivyoruka nikasema sikubaliani ngoja nimuite tupime afya ,nikachukua kipimo , nikampima kwa mara ya kwanza majibu yakaniletea NEGATIVE , nikasema ngoja nisubiri mwezi ,nikasubiri mwezi ukapita nikampima tena nikakuta HIV negative ,nikarudia tena kumpima baada ya mwezi majibu yakaja negative, yeye mwenyewe akaanza kuniambia "mbona unanitisha sana kila mara kupima na hatufanyi kitu ,una hofu gani ? Nikamwambia hamna kitu sema natarajia tufanye jambo letu .

Kiukweli hofu iliniingia lakini niliamini hana kabisa baada ya mimi kupima kwa miezi mitatu mfululizo nilijikuta niko SALAMA , kiukweli HOFU NI MBAYA SANA UKUTE UNA MAGONJWA MENGINE LAKINI SABABU YA HOFU ULIYONAYO NDO INAPELEKEA UWE KATIKA HALI HIYO. PIA HATA UKIUPATA SIYO MWISHO WA MAISHA YAKO ,KIKUBWA KUBALIANA NA YOTE,NA KUMBUKA KUNA WENYE MAAMBUKIZI SI KWAMBA WALIFANYA NGONO NZEMBE LAHASHA BALI WALIZALIWA NAO ,NA WENGINE WALIPATA UGONJWA HUO WAKIWA WANAWAHUDUMIA WAGONJWA WENYE UGONJWA HUO.
 
aisee
 
Basi aanza kumeza dawa
 
Mkuu kabla ya kutumia PEP ulimpima huyo bibie uliekutana nae?
kama ni ndio, je majibu yalikuaje?
kama ni hapana kwann ulitumia PEP?
 
Mkuu kabla ya kutumia PEP ulimpima huyo bibie uliekutana nae?
kama ni ndio, je majibu yalikuaje?
kama ni hapana kwann ulitumia PEP?
Huyo ana hofu ili kuiondoa na aamini ameathirika ni bora amtafute aliyelala nae, ukute hana hayo maambukizi anayoyadai yeye .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…