Not JWTZ anymore. Ni JRHTZ (Jeshi la Rais Haramu Tanzania)!Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
ukitoka kwenda viwanja vya maonesho hyo siku, ujue umeandamana tayari, upende usipende. Weka akilini hyo mkuu.Asee wanatumia gharama kubwa kufanya vitu visivyo vya msingi.Hiyo tarehe hakuna kitu.Wanaingizwa mkenge kila wakati
Hii nchi inaweza kuwa imelaanika au nini hiki
Mbwembwe tuu mle hamna risasi hata moja🙇Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!