Pita pale umpige picha utuwekee hapa. Mimi nimeshindwa. Hata leo yupoWeka picha
Weka picha
Vyepesi hivyo ndugi!!!😅😀😃Ujinga tu..mvamieni hana lolote..kwanza amejiziba macho kwa kitambaa..Mtokee pande zote zote ..hana la kufanya..chukueni hiyo bunduki muingie nayo kitaa.
Tupiamo ka picha basiYaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
Hakuna haja ya Nchi kuchukuliwa na Jeshi, Uongozi wa kiraia ndio CivilizationTangu October 29 nimewadharau sana JWTZ. Nchi ilikuwa ya kwao wakaamua kumrudisha huyu wakala wa ibilisi. Sitawasamehe kamwe.