kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,394
- 16,128
Jwtz ni useless
Nilikuwa na wazo hilo lkn that would have been my end! Kama ningelikuwa nakwenda mkabala naye mingelijifanya nasoma msg kwenye simu nikampiga picha, that was not the caseKa picha mkuu
Iko pabaya vp na we unasema umempita just a metre ukageka kumtazama na ukawa salamaYaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
Upinzani wanawatengenezea ulaji tu Askari wetuAsee wanatumia gharama kubwa kufanya vitu visivyo vya msingi.Hiyo tarehe hakuna kitu.Wanaingizwa mkenge kila wakati
Hii nchi inaweza kuwa imelaanika au nini hiki
Mnaupiga mwingiNgoja tuone
Mbona mbaliHawa wajinga tutawajambisha sana, ikipita hii tunatangaza kuwa 29.10.2026 tunalianzisha tena.
Mimi ?Mnaupiga mwingi
Maafisa wa kuhakikisha miji inakuwa tulivu.Mimi ?
Na akina nani?
Sasa mimi ni nani hata unijumuishe kijana☺️Maafisa wa kuhakikisha miji inakuwa tulivu.
Ulale unonoSasa mimi ni nani hata unijumuishe kijana☺️
Kua makini kijana usiku huu wachawi wengiUlale unono
Waulize , wanaufahamu moto wa maji ya baraka?Kua makini kijana usiku huu wachawi wengi
Hauko serious kijana!Ka picha mkuu
Ungelienda ukamfunua hicho kitambaa halafu ukamwambia asiogope kuficha uso wewe upo utamlinda!!Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasa7/7 maandamano yanaanzia viwanja vya maonesho, tuone umahiri wao wa kutofautisha kati ya wafanyabiashara, wateja na waandamanaji.