zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasaHawa wajinga tutawajambisha sana, ikipita hii tunatangaza kuwa 29.10.2026 tunalianzisha tena.
make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasaHawa wajinga tutawajambisha sana, ikipita hii tunatangaza kuwa 29.10.2026 tunalianzisha tena.
Huna akili, sisi hatuna haja ya kuandamana bali tunawajambisha hao wavaa magwabda waandamane kwa niaba yetu.make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasa
Huna akili, sisi hatuandamani bali tunawajambisha hao mazuzu wavaa magwanda waandamane kwa niaba yetu.Mbona mbali
Andamaneni siku ya Maulid
Madikiteita wote wanakuwa wameshaukana utu/ ubinadamu as long as it takes them to remain in power!Sasa Samia anaskia raha gni kutawala in this style?
Usisahau pia kuwa wewe ni mtekwaji mtarajiwa........unayeona umesimama, angalia usianguke...make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasa
Hili ni neno zito sana mkuuUsisahau pia kuwa wewe ni mtekwaji mtarajiwa........unayeona umesimama, angalia usianguke...
Waache waendelee kula posho.
What if ni UVCCM fulani aliyevalishwa gwanda?
Awamu hii tuwapa rungu vichaa tutaona rangi zote.
Ungemrushia jiwe mkuu.Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
Hiyo ni sawa na kulikumbatia jiko la mkaa lililokolea kifuani mwako.Ungemrushia jiwe mkuu.
Askari angefuata maneno ya ndugu waziri kwa kufyatua risasi.Hiyo ni sawa na kulikumbatia jiko la mkaa lililokolea kifuani mwako.
Not JWTZ anymore. Ni JRHTZ (Jeshi la Rais Haramu Tanzania)!
Hapo malengo yanakuwa hayajatimia.Huna akili, sisi hatuandamani bali tunawajambisha hao mazuzu wavaa magwanda waandamane kwa niaba yetu.