Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

Iko pabaya vp na we unasema umempita just a metre ukageka kumtazama na ukawa salama
 
Ungelienda ukamfunua hicho kitambaa halafu ukamwambia asiogope kuficha uso wewe upo utamlinda!!
 
7/7 maandamano yanaanzia viwanja vya maonesho, tuone umahiri wao wa kutofautisha kati ya wafanyabiashara, wateja na waandamanaji.
make sure unakuwa front line pamoja na watoto wa walalahoi mnaowatumia kama mtaji wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…