Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

Nyie ndio wale mnamiliki akaunti 100 za kutukana mitandaoni.

Fanya kazi achana na mawazo ya maandamano yasiyo na agenda wala kiongozi.
 
Usisahau pia kuwa wewe ni mtekwaji mtarajiwa........unayeona umesimama, angalia usianguke...
Hili ni neno zito sana mkuu
Kesho yetu ina giza nene mno.

Mkapa alimalizwa.
Jpm alimalizwa.
Mangula alikoswa koswa
Muhagama alimalizwa.
Lukuvu alimalizwa.
Dereva wa Heche amemalizwa
Polepole ametekwa hadi leo.

Mtu mwenye akili timamu hawezi akawa Upande wa Uongo, Mauaji, Utekaji,Nk
 
Ungemsalimia hawana shida, sisi wa huku kwetu hua tunapiga nao story wana vichekesho sana
 
Juzi nikiwa na ndugu zangu tumetoka safari mida ya nane usiku tukawa tunaogopa kufika nyumbani na boda hatukuziamini, tukaenda kwenye gari lao tukawaomba ulinzi wawili walitusindikiza hadi mlangoni, alhamdulillah binafsi naona wanatufaa sie tunaoishi mjini kati vibaka nje nje
 
Ungemrushia jiwe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…