Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

Ready to shoot😂😂
Kuna muda naona hii idea ya kusambaza police juani kutwa nzima jijini ni kutengenezea watu tension and unnecessary fear, watanzania hatujazoea hii kitu na tukishazoea hii hali hao watawala ndo watakuja kuona kwamba hao police na bunduki zao ni useless
 
Nyie ndio wale mnamiliki akaunti 100 za kutukana mitandaoni.

Fanya kazi achana na mawazo ya maandamano yasiyo na agenda wala kiongozi.

hizo kazi zenyewe za kufanya ziko wapi? unemployment rate tanzagiza >80%, kama kazi zingekuwepo haya yote yasingetokea ...
 
YOTE HAYA WHY?..Mh Samia,CCM na Serikali hebu punguzeni KIBRI, iteni wapinzani kaeni chini..ya MSINGI yote yafanyiwe kazi ili Mama Tanzania asonge mbele
 
Hapo malengo yanakuwa hayajatimia.
Usijizime data.
Kama hujaelewa mpaka hapa basi una shida kichwani. Yaani mitaa kujaa askari wenye silaha za kivita bado hujaelewa tu. Hawa wajinga tutawajambisha sana hadi wajitambue kuwa hawana akili.
 
Sidhani kama ni sahihi kwa askari kufunika uso!
Unawezaje kutofautisha askari na muhaifu iwapo serikali itaendelea kuruhusu huu ujinga wa askari kufunika sura zao? It is unlawful.
 
Kama hujaelewa mpaka hapa basi una shida kichwani. Yaani mitaa kujaa askari wenye silaha za kivita bado hujaelewa tu. Hawa wajinga tutawajambisha sana hadi wajitambue kuwa hawana akili.
wewe mpuuzi, kwa hiyo mnategemea hao wenye mamlaka mtawatoa madarakani kwa kujificha magetoni na kuwaacha askari wajimwambafy mitaani. au malengo yenu ya kuwatoa madarakani yamekufa kifo cha mende
stupid
 
Mpumbavu wewe kumchinja kobe yataka timing, stupid mamako .
 
Mpumbavu wewe kumchinja kobe yataka timing, stupid mamako .
mwehu wewe, mnajitapa kwamba ooh safari hii tunafanya usafi.
mnafikiri kupidua wenye mamlaka ni rahisi kama kunywa uji wa stendi. stupid.
 
mwehu wewe, mnajitapa kwamba ooh safari hii tunafanya usafi.
mnafikiri kupidua wenye mamlaka ni rahisi kama kunywa uji wa stendi. stupid.
Wewe maku kweli kweli nani amekuambia anataka kupindua nchi? Mumelishwa maneno ya kitoto na Samia kuwa wale madogo ambao hawakua hata na manati walitaka kupindua nchi.
 
Binafsi naishangaa hii serikali badala ya kuwekeza nguvu kwenye vitu wanavyolalamikia wananchi wao wamekalia propaganda na kutishia wananchi
 
hizo kazi zenyewe za kufanya ziko wapi? unemployment rate tanzagiza >80%, kama kazi zingekuwepo haya yote yasingetokea ...
Changamkia fursa zirasimishe usisubiri za ofisini tu.
 
Ujinga tu..mvamieni hana lolote..kwanza amejiziba macho kwa kitambaa..Mtokee pande zote zote ..hana la kufanya..chukueni hiyo bunduki muingie nayo kitaa.
 
Oyaa jiji lenyewe foleni imetoweka au ndo mama katatua changamoto ya foleni?
 
si ungepiga na picha gentleman
au ulikua unapita huku unaogopa sana na hewa na kijasho chembechembe kinakutoka sehemu mbalimbali za mwili?

In fact mpaka tar 15 July,
nchi yetu itakua na ugeni mzito wa wakuu wa nchi mbalimbali, na kwahivyo, kidiplomasia lazima wapewe hadhi inavyostahili ikiwa ni pamoja na ulinzi mkali kama ulivyo utamaduni wa mahusiano ya kimataifa.

That's not an option, it's complasory diplomatically 🐒
 
Weka picha
 
7/7 maandamano yanaanzia viwanja vya maonesho, tuone umahiri wao wa kutofautisha kati ya wafanyabiashara, wateja na waandamanaji.
Oct 29 kulikuwa na utofauti wa mpiga kura, asiyepiga kura, muandamanaji, asiyeandamana, mleta fujo na asiyeleta fujo? Aliyetoka kununua kiberiti na mhuni waliwekwa kundi moja, inasemekana mpaka wengine walikuwa majumbani tu, mzee mmoja alikuwa kaketi kibarazani akafanyiwa sawa sawa na kijana aliyekuwa anachoma kituo. Naamini unajua kinachoweza kutokea maandamano yakianzia saba saba.

Natamani sana pangetolewa route ya maandamano, pakawa na ulinzi, pakawa na kusikilizana kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri maana sisi wote ni binadamu lakini ndo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…