Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

Sana tu,aje Ushirombo huku tumtokee na Moko sisi wa Chimbaji.
 
Ujinga tu..mvamieni hana lolote..kwanza amejiziba macho kwa kitambaa..Mtokee pande zote zote ..hana la kufanya..chukueni hiyo bunduki muingie nayo kitaa.
Vyepesi hivyo ndugi!!!πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Tupiamo ka picha basi
 
Tangu October 29 nimewadharau sana JWTZ. Nchi ilikuwa ya kwao wakaamua kumrudisha huyu wakala wa ibilisi. Sitawasamehe kamwe.
Hakuna haja ya Nchi kuchukuliwa na Jeshi, Uongozi wa kiraia ndio Civilization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…