Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yameoangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tooe na nyasi.

Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Wakwele wanapenda singeli kuliko nyumba ndio maana kila mwaka Kikwete na ETV wanapeleka singeli na sio huduma za kijamii

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika ndo jamii pekee ambayo unahangaika na kuteseka peke yako kutafuta mafanikio lakini ukisha yapata hayo mafanikio wanalazimisha yawe ya ukoo mzima.
Kabisa yaani na inashangaza sana. Ndio yale yale utasikia fulani anabadilisha magari kila siku wakati majirani zake wanalala njaa.
 
Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yameoangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tooe na nyasi.

Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom