Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Unajua utoto unakusumbua mleta mada. Iko hivi binadamu ana mapito yake kila mmoja wao ndio maana watu hawahangaiki na watu wengine kwakua ndio msingi wa maisha unaposema wananyumba za tope na yeye kapanga nyumba zake vizuri sio shida ilimradi kila mmoja anaishi kwa uwezo wake.

Ww umeshindwa kukaza trakooo ukajenga pazuri unataka mali za mstaafu zikakunufaishe utakuja toboka spika kweupeee
 
Kwanini awajengee kwanza?? Kisa majirani au?? Mbona watanzania wengi tuu wanaishi nyumba za tope halafu majirani wana maghorofa na hakuna anayeongea.
Kila mtu apambane na hali yake

Kikwete sio mtu kama wewe au mim alikuwa raisi akiamua anaweza na hapungukiwi na chochote kabisa Poa ingekuwa kuwajali watu wake na ingekuwa kumbukumbu nzurii
 
Hizo hua ni issue za madrug cartels,Pablo Escobar alivunja Slums kwenye mji wake wa Medelin na akawajengea Nyumba za maana,hiyo yote ni kupata support kwa majirani inapotokea kuna msako wa kukamatwa,hata Chris coke Dudus drug lord wa Jamaica alifanya hivyo.
 
Kutoa msaada sio lazima uwe tajiri,kutoa ni moyo na sio utajiri,

Huenda hapa kuna watu wanamlaumu Kikwete ila wao kila siku wanawapita masikini na viwete bila hata kuwapa japo Mia!
 
Kikwete sio mtu kama wewe au mim alikuwa raisi akiamua anaweza na hapungukiwi na chochote kabisa Poa ingekuwa kuwajali watu wake na ingekuwa kumbukumbu nzurii
Wakija marafiki zake wa kimataifa wakafikia kwake watamchukuliaje kwa kuta nyumba za tope?
 
Kumbe wachaga na nyinyi hamna akili. Hajazungumzia homeless hapo hao makazi wanayo ila ni duni
Sasa Marekani kuna mabilionea wa dunia mbona wasiwajengee nyumba hao homeless?

Utakuwa hujanielewa..

Maana yake ni kwamba, ukiwa tajiri huna obligation yotote ya kuwajengea masikini nyumba.
 
Wakija marafiki zake wa kimataifa wakafikia kwake watamchukuliaje kwa kuta nyumba za tope?
Yaan unakuwa raisi halaf mji ulipotoka wewe ndio umejenga nyumba nzuri tu
Ilitakiwa pawe pazuri maji ya uhakika,barabara,umeme, kusaidia watu wako ni jambo zuri
Lazima upendelee ulipotoka baba na kuwe na unafuu wa maisha na watu wajivunie wewe
 
Waswahili wajinga sana,waligomea barabara ya lami kisa minazi ya mababu zao,bure kabisa hivyo vijamaa,jmk anawajua vyema waswahili wenzie hao ni wakuwaacha hivyo hivyo tu na ujinga wao.
 
Back
Top Bottom