Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

Ni dhambi ndio kama una uwezo halaf majiran zako wanashinda njaa hutoi msaada ndio maana waarabu hutoa chakula
Unapo toa masaada maana yake unahesabika umetoa sadaka ,na mungu haja wahi kuifanya sadaka kuwa kitu cha razima mpaka eti usipo toa unapata dhambi.
Ukiwa na pesa usipo toa sadaka utakacho kosa ni swawabu tu na sio kupata dhambi.
 
Kikwete sio mtu kama wewe au mim alikuwa raisi akiamua anaweza na hapungukiwi na chochote kabisa Poa ingekuwa kuwajali watu wake na ingekuwa kumbukumbu nzurii
Lakini hiyo ni hiyari yake na sio kurazimisha kama mnavyo taka maana msaada sio razima.
 
Yaan unakuwa raisi halaf mji ulipotoka wewe ndio umejenga nyumba nzuri tu
Ilitakiwa pawe pazuri maji ya uhakika,barabara,umeme, kusaidia watu wako ni jambo zuri
Lazima upendelee ulipotoka baba na kuwe na unafuu wa maisha na watu wajivunie wewe
Ungeniambia kitu kama kupeleka maji ,umeme,barabara hapo ninge kuelewa lakini kuhusu kujengewa mpaka nyumba hapo haiingii akilini kabisa .

Yaani mwamaume mzima unajiita lijari badala upambane kuhakikisha familia yako inasonga mbele eti ukae usubilie kujengewa nyumba na kikwete ? aisee.
 
Unapo toa masaada maana yake unahesabika umetoa sadaka ,na mungu haja wahi kuifanya sadaka kuwa kitu cha razima mpaka eti usipo toa unapata dhambi.
Ukiwa na pesa usipo toa sadaka utakacho kosa ni swawabu tu na sio kupata dhambi.
Bila shaka mtoa hiyo comment uliyoiquote anaongelea kutoa Zaka,kutoa Zaka ni lazima kwa mwenye uwezo.
 
Hata majirani wangekuwa kuwa wanakaa kwenye kichuguu binafsi nisingejali wala kuona kosa lolote ukizingatia Tanzania ni Moja na alikuwa anaongoza Tanzania wala hukatazwi kwenda popote au kufanya lolote....

Tena nina masikitiko makubwa sana Precedent aliyoleta JPM ya kwa wazi kabisa na kujisifia kwamba huku ndio tazikwa au huku ndio kwetu kwahio kupajenga sana huko wakati Kodi ni za Nchi nzima na Pote panatakiwa kujengeka.....

Hii Myopic thinking ya Ubinafsi na Umimi ndio inalitafuna Taifa na Afrika kwa ujumla wake...

By the way kimazingira which is better tope au concrete ? Na kuishi magorofani kama ndege / njiwa kuna advantage zaidi ya kuishi ground floor ?

To each their own....
 
...nkandla!!

How much it resembles Zuma's residence at Nkandla?
 
Attachments

  • 20230128_135126.jpg
    20230128_135126.jpg
    71.8 KB · Views: 5
Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Walitakiwa wawezeshwe kiuchumi na mielimu, lakini wakijiji watakuwa hawana Elimu ya kiuchumi Mstaafu aliwapa mikopo mingi sana ili kuwainua kiuchumi.
 
Akijenga lile swali la ametoa wapi pesa linashika hatam. Huu nao ni upepo tu utapita alijisemea.
 
Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.

Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Huyo.mzee ni mshirikina kama siyo mchawi yeye apendi kuona watu wanapata maendeleo anacho penda yeye ni kutukuzwa na kusujudiwa
 
Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Wabongo huwa mna akili za kipumbavu sana. Awajengee afu iweje? Will that solve their problems? Acheni kupenda bure bure pumbafu
 
Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.

Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
HATA MIE NIMEBAINI ILA NILIANGALIA JUU JUU SANA MAANA NILIKUWA KWENYE BASI, ILA MBUNGE YUMO HUMU NA WASHAURI WAKE WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUWAWEZESHA KUBORESHA NYUMBA WAZAWA WA MSOGA!!!!!!
 
Wabongo huwa mna akili za kipumbavu sana. Awajengee afu iweje? Will that solve their problems? Acheni kupenda bure bure pumbafu
ACHA KUFOKA FOKA WEWE MBONA YEYE AMEJENGEWA BURE KABISA NA MIJUMBA KIBAO HATA HIVYO SIYO WAJENGEWE BURE KUNA KUWA NA UTARATIBU WA KUCHAGIA WA MASHARTI NAFUU KABISA , TENA BASI TUNASEMA UKARABATI TU !!!!! WHY NOT BHANNA!???
 
Kwani hao mnao razimisha awajengee wao hawana mikono na nguvu za kutafuta pesa kwa ajili ya kujengea familia zao nyumba mpaka kikwete ahache kushughirika na maisha yake ahanze kuhangaika na maisha ya watu wazima wenye familia zao?

Yaani unajiita mwamaume umeowa una watoto kibao alafu unakaa kusubili kikwete aje akujengee nyumba?
Waafrika ni jamii iliyo jaa majitu mapumbavu na ndio maana imejaa umasikini.
 
Back
Top Bottom