ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Unapo toa masaada maana yake unahesabika umetoa sadaka ,na mungu haja wahi kuifanya sadaka kuwa kitu cha razima mpaka eti usipo toa unapata dhambi.Ni dhambi ndio kama una uwezo halaf majiran zako wanashinda njaa hutoi msaada ndio maana waarabu hutoa chakula
Ukiwa na pesa usipo toa sadaka utakacho kosa ni swawabu tu na sio kupata dhambi.