Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 115
Wakwele wanapenda singeli kuliko nyumba ndio maana kila mwaka Kikwete na ETV wanapeleka singeli na sio huduma za kijamiiNyumbani kwake pana magorofa na majengo yameoangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tooe na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Mwenzako kasema Msoga. Sasa wewe huko Msogo ndio wamejaa hao maofisa usalamaMtoa mada muongo bwana..umepita msogo ya wapi ww...msogo karibu na kikwetu hakuna hata nyumba ya udongo hata moja ,kwanza wanaishi pale karibu yake wengi usalama
Na Akiwajengea mtakuja kulia, wanajengea kwa kodi zenu, mbona kuna Watanzania wengi hawajengiwi, Watanzania Tuna Nongwa.Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Kuna kuwapa kipaumbele watu wa karibu yako wafurahie pia walitoa mtuNa Akiwajengea mtakuja kulia, wanajengea kwa kodi zenu, mbona kuna Watanzania wengi hawajengiwi, Watanzania Tuna Nongwa.
Kwanini awajengee kwanza?? Kisa majirani au?? Mbona watanzania wengi tuu wanaishi nyumba za tope halafu majirani wana maghorofa na hakuna anayeongea.Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Waafrika ndo jamii pekee ambayo unahangaika na kuteseka peke yako kutafuta mafanikio lakini ukisha yapata hayo mafanikio wanalazimisha yawe ya ukoo mzima.Kuna kuwapa kipaumbele watu wa karibu yako wafurahie pia walitoa mtu
Kabisa yaani na inashangaza sana. Ndio yale yale utasikia fulani anabadilisha magari kila siku wakati majirani zake wanalala njaa.Waafrika ndo jamii pekee ambayo unahangaika na kuteseka peke yako kutafuta mafanikio lakini ukisha yapata hayo mafanikio wanalazimisha yawe ya ukoo mzima.
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyeweNyumbani kwake pana magorofa na majengo yameoangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tooe na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Mwenzio chato aliwajengea hadi majirani. Watu wakisema wacha waseme.Kuna kuwapa kipaumbele watu wa karibu yako wafurahie pia walitoa mtu