Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

ACHA KUFOKA FOKA WEWE MBONA YEYE AMEJENGEWA BURE KABISA NA MIJUMBA KIBAO HATA HIVYO SIYO WAJENGEWE BURE KUNA KUWA NA UTARATIBU WA KUCHAGIA WA MASHARTI NAFUU KABISA , TENA BASI TUNASEMA UKARABATI TU !!!!! WHY NOT BHANNA!???
Acha ujinga na upumbavu wako ewe zumbukuku. Tabia ya kupenda vya bure itakuja kuwacost wajinga wakubwa nyinyi
 
Kashindwa hata kuwajengea za kawaida tu za gharama ndogo na akifanya hivyo hata hapungukiwi
Ndugu, kutoa ni moyo! Na pia tujue yeye si tajiri, ni hisani ya WaTz tu kwa ujuha wetu ndio tunawamwagia hizo pesa wao waishi vizuri.
 
Ndio maana magufuli alikuwa anampiga madongo majirani zake hata maji tu yalikuwa ya shida anashindwa hata na sadio mane bwana mstaafu kazi yake kula dili tu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ndio kufa kufaana, balance lazima iwepo utajiri na umaskini!
 
Ndio aina ya wanasiasa tulionai wengi ni waongo na walafi
 
Binasfi sijpendekeza wajengewe , kama ikimpendeza anaweza kutoa mkopa usio kuwa na masharti kwa kutumia ofisi ya bunge na kwa bahati mbunge mwanae na ni waziri wa nyumba as well!!!!! shida iko wapi sasa? na ukute labda ni mabati tu ....
 
Kikwete sio mtu kama wewe au mim alikuwa raisi akiamua anaweza na hapungukiwi na chochote kabisa Poa ingekuwa kuwajali watu wake na ingekuwa kumbukumbu nzurii
Kwani urais ameupata bure?? Amepambana vya kutosha kuanzia kuspma enzi ya nyerere mpaka pilikapilika za siasa n.k,si ajabu wakati anapambana na shule hao majirani zake walikuwa wanamcheka na kukimbilia kuoa,sasa uzeeni kila mtu anakula alochokipanda
 
Alijenga kwao Jpm mkamtukana. Huyu kaona za mwenzie zikinyolewa. Watanzania kwa unafki mna A
 
Halafu ukishamjengea nyumba siku inayofuata anaongeza mke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…