Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo.

Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi muda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.

Sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
 
Sijui ni ushamba au Mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya crdb takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuepo mwanzo.

Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi mda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.

sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Wasiliana na uongozi wa CRDB kwenye tawi lolote la karibu ili kupata maelezo sahihi.
Huku utapata majibu ya kubahatisha.
 
Back
Top Bottom