Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

Ndio nilichosema. Ruge aliwapa wale watu kwa ridhaa yake. Mada hii ni hela imeingia kimakosa kwenye akaunti ya mhusika. Hela ikiingia kwako kimakosa ni vizuri uwaulize bank nini kinaendelea, ukiitumia inaweza kukuletea shida. Chukulia mfano hela ya wizi imechepushwa wakakosea akaunti ikaingia kwako na wewe ukaitumia si unaonekana unahusika na umelipwa?
Wabongo wana njaa kali. Hawanaga muda wa kujiuliza. Majuto ni mjukuu
 
Sometimes bank wanaamua kutu bless wateja wao Kwangu iliingia laki 8 kwenye account haieleweki imetoka wapi nikawauliza wadau wakaniambia eti ni watu wa IT WA bank husika wanaiba Kwa mtindo huo wanaingiza hela kisha wanaitoa,sasa huwa wanajisahau kuzitoa/wanasahau account no.waliyoweka!!
Hawajakata hadi Leo
Kuna siku tena nilitoa hela kwenye ATM salio halikupungua mwaka sasa!!! Wabarikiwe Sana wezi wote WA bank kama ni kweli lakini!!
Angalia siku wakitaka kuja kurudisha pesa yao na ukawa huna kitu.

Wataichukua in kind.....
 
Hizo zimetoka kwa wakopeshaji wa hizi microfinance nyonya damu.
Be careful, wanawaza kukomba mpaka sumni ya mwisho
 
WAJUBA VIPI MLISIKIAGA ILE STORY YA IT STAFF MMOJA WA BENKI ,,,,KUCHUKUA SHILLINGI 1 KWENYE KILA ACCOUNT KWENYE TAWI ALILOAJILIWA KILA SIKU ??? AND THEN IKAWA HARD KUM TRACE.......................?
 
Daah,hujamuacha fresh kabisa.Alitakuwa ajue kosa lake lisijirudie tena
Yeye ndio kaniacha kisa tu siku ya idd aliniomba hela anunue kuku nikamwambia Sina hela hajanipigia mpaka leo
 
Back
Top Bottom