Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

Kama hela zipo ndani ya uwezo, najikopesha tutamalizana mfano laki 5 au million ambazo zinafanana fanana na savings zangu, shida mzigo umeingia 5 million and above, hapo mapema najisalimisha maana amount hiyo lazima itakuwa na sababu na lazima itahitaji viambanisho kwanini imeingia kwako
🤣🤣🤣
 
Niliwahi kukutana na kisa kama hicho kwa NMB ilikuwa mwaka 2017.
Nimeenda kutoa pesa, nikaona ongezeko la 940,000/= sikujali nikajisemea nitakuwa nilisahau mwenyewe salio la mwisho.
Maisha yakaendelea, baada ya kama miezi 5 hivi, naenda ATM kutoa pesa, naambiwa hakuna pesa.
I mean kiwango nilichotaka hakikuweza kutoka kucheki balance nina 400k.

Nilivyoenda dirishani wakaniambia kuna muamala uliwekwa kwenye Akaunti yako kimakosa, tena ilikuwa ni check deposit.
Kwahyo inawezekana wamekosea??, Nitakuja tuu
 
kuna siku nimeingiziwa laki 7 nikaskilizia siku tatu labda nitapokea simu yoyote naona hola wiki hola nikatoa laki nikashenyenta simu hola nikatoa laki nikala baada ya mwezi napigiwa simu ile hela ilitumwa kimakosa na ilikua ni ada ya chuo ya dogo mmoja hivi.
Bahati nzuri nilitafuna laki mbili tu wakapiga pin 500k then ilipoingia salary wakapiga pin 200k
Kumbe
 
Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo.

Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi muda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.

Sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
USIOE KAMA SIO BIKRA
 
Nahisi kuna account za hiyo bank zina bonus.

Hii case wiki tatu nyuma nilikutana nayo kuna jamaa yangu aliniambia yeye alipokea Tsh 500,000/= kutoka crdb na toka afungue hiyo acc hakuwahi kumpa yeyote namba useme muamala ulitoka kwa mtu.
Hii inawezekana

Binafsi pia nimeamka Asubuhi nakuta msg nimepokea hela kutoka Bank ninayotumia nilishtuka kidogo japo ina maelezo...
Ikabidi niulize wenzangu
ndiyo kuaambiwa ni Bonus ya kutumia Card...
 
Sometimes bank wanaamua kutu bless wateja wao Kwangu iliingia laki 8 kwenye account haieleweki imetoka wapi nikawauliza wadau wakaniambia eti ni watu wa IT WA bank husika wanaiba Kwa mtindo huo wanaingiza hela kisha wanaitoa,sasa huwa wanajisahau kuzitoa/wanasahau account no.waliyoweka!!
Hawajakata hadi Leo
Kuna siku tena nilitoa hela kwenye ATM salio halikupungua mwaka sasa!!! Wabarikiwe Sana wezi wote WA bank kama ni kweli lakini!!
 
Yaani ni kwamba nilijua tu lazima wangenirudia tu no free lunch jasho la mtu liheshimiwe
Hamna cha jasho la mtu Wala nini ccm inakula jasho la fukara ambaye hata shilingi mia 500 kuipata shida sembuse huyo wa laki 7 na ukute ndio hao hao ccm kiufupi wewe ni bwege tuvubgekua kweli unajua jasho la mtu usingeitumia hiyo laki 2
 
Hamna cha jasho la mtu Wala nini ccm inakuka jasho la fukara ambaye hata shilingi mia 500 kuipata shida sembuse huyo wa laki 7 na ukute ndio hao hao ccm kiufupi wewe ni bwege tu
Hakuna noma mwaisa hata hao ccm wewe wanakuona bwege tu
 
Na mimi hapa imebidi niingie nicheki nakuta 516k imewekwa kwenye akaunt yangu ya App simbanking.
 
Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo.

Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi muda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.

Sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Labda dividends kama una shares kwenye makampuni.
 
Yaani ni kwamba nilijua tu lazima wangenirudia tu no free lunch jasho la mtu liheshimiwe
Na isitoshe ilikuwa Akaunti inayopita Mshahara....Usingekuwa na namna ya kukwepa kulipa hiyo hela..

Ulifanya vyema kuacha kiasi ulichoacha...Maana ni ungekuwa unakwatwa hadi deni liishe😄
 
Sometimes bank wanaamua kutu bless wateja wao Kwangu iliingia laki 8 kwenye account haieleweki imetoka wapi nikawauliza wadau wakaniambia eti ni watu wa IT WA bank husika wanaiba Kwa mtindo huo wanaingiza hela kisha wanaitoa,sasa huwa wanajisahau kuzitoa/wanasahau account no.waliyoweka!!
Hawajakata hadi Leo
Kuna siku tena nilitoa hela kwenye ATM salio halikupungua mwaka sasa!!! Wabarikiwe Sana wezi wote WA bank kama ni kweli lakini!!
Aisee
 
Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo.

Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi muda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.

Sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Inyakatue yote. Tena kwa sababu umesema ww sio mtumishi wa uma. Nenda kafungue akaunti benki nyingine
 
Back
Top Bottom