Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkopo huo mkuu 😅😅😅.Sijui ni ushamba au Mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya crdb takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuepo mwanzo.
Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi mda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.
sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Kama hela zipo ndani ya uwezo, najikopesha tutamalizana mfano laki 5 au million ambazo zinafanana fanana na savings zangu, shida mzigo umeingia 5 million and above, hapo mapema najisalimisha maana amount hiyo lazima itakuwa na sababu na lazima itahitaji viambanisho kwanini imeingia kwakoHii inaweza kukuletea shida.
😀😀bilashaka umekopeshwa bila kujua nenda kawaulize kwenye tawi lililo karibu nawe,upate ufafanuziSijui ni ushamba au Mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya crdb takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuepo mwanzo.
Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi mda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.
sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
🤣🤣🤣🤣🤣hata nguvu ya kesi inawaisha maana wanaona huyu kijana tutamuonea tu.ingekuwa mimi watanikuta bar kwa maelezo zaidi... tena watanikuta nipo na pisi kali wakiniona tu wanajua huyu kenge kesha zitafuna zote hana hata mia!
Ni aina gani ya account ?Mwaka jana mwezi wa 12 nilipata mil 1 na kitu , juzi trh 30 kama wewe nimepta 635,000
Hii inaweza kukuletea shida.
Aina gani ya akaunt mkuu?Sijui ni ushamba au Mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya crdb takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuepo mwanzo.
Nikasema niende kwenye history fupi ya muamala nione imetoka wapi hapo nikaona June 30 nilipokea 468,000 kutoka CREDIT INTEREST AP, baada ya kuangia hicho kiasi mda mfupi ikakatwa 46,000 ya WITHHOLDING TAX.
sasa sijaelewa hapo wazee wengine tulikimbia umande
Niliwahi kukutana na kisa kama hicho kwa NMB ilikuwa mwaka 2017.Hahahaha sijaelewa ujue tena imenikuta wakat Nina shida na kama 500k hiv
watajua tu!🤣🤣🤣🤣🤣hata nguvu ya kesi inawaisha maana wanaona huyu kijana tutamuonea tu.
NMB walichukua kwangu bila hata taarifa, tena baada ya miezi mingi sana kupita, nilikuwa nimeshasahau kabisa.Sidhani mkuu...
Endapo mtu aliyeiweka akitoa malalamiko, wanachofanya benki ni kufreeze akaunti yako ili uende nawe kulalamika kuwa huwezi kuifikia akaunti yako...
Watakupa sababu na mtaafikiana namna ya kuirejesha hiyo pesa, kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo, uzembe upo kwa mtumaji na ndio maana benki hutoa elimu ya mtu kuhakiki tarakimu za akaunti pindi unapotuma pesa...
Mathalani si unaona walioingiziwa mkwanja na mzee Ruge wala hawakuingia matatani, pesa waliitafuna na hadi leo wapo kitaa...
Hapana ila account ina pesa ndefu kidogo na zaidi ya miaka 15 ina pesa tu .Ni aina gani ya account ?
Fixed au ?
Hii aliwalipa,hakukosea kuingiza huko.Mathalani si unaona walioingiziwa mkwanja na mzee Ruge wala hawakuingia matatani, pesa waliitafuna na hadi leo wapo kitaa...
Wazo zuri Griti sinka.Nenda kazitoe halafu uzipeleke police.
Mi mbona napokea na watu wengi wamepokea , kipind nikiwa chuo pesa iliingia milion 1 mpaka leo nikaitumia , hizi anazosema nipokea sana mwaka juzi nilipokea 300k mwezi wa 7 na 12 , mwaka jana kama kawa .Hii inaweza kukuletea shida.
Lazima awe na 8 digits balance , 10mil na kuendelea kuna kipind nilikuwa napata 35k ila sasa laki sita nusu mwaka , mwezi wa 12 mwaka jana nilikuwa million 1 na ushee.Nahisi kuna account za hiyo bank zina bonus.
Hii case wiki tatu nyuma nilikutana nayo kuna jamaa yangu aliniambia yeye alipokea Tsh 500,000/= kutoka crdb na toka afungue hiyo acc hakuwahi kumpa yeyote namba useme muamala ulitoka kwa mtu.